Enzi za utoto....

Enzi za utoto....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu simu tumezijua ukubwani kabisa aisee
Hahah!! Mazingira tu labda ndio yalisababisha hivyo
 
Mi nilikuaga mtaalamu wa kukata viuno,yani tukianza nyimbo zetu za utoto mkataji mauno mkuu ni mimi.
Kuna ule wimbo unamalizikia na maneno ya "okota maganda,peleka uganda yamepanda bei sukuma waaaaa"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

I miss those moments
Km nakuona vile kwenye bilinge bayoyo..
 
Mie nilikuwa fundi wa michezo yote kasoro kuparamia miti na kuruka sarakasi, vilinipitia pembeni kabisa.. Kibaba baaba nilikuwa lazima niwe baba nipate kuwadukunyua watoto wa watu, mpira usiseme nilikuwa fundi, mpaka leo hii na utu uzima wangu.. Nilikuwa so genius mtaa si watoto ama watu wazima walikuwa wakinikubali kichizi, nilikuwa na damu ya kupendwa..
Tatzo langu moja tu nilikuwa mwizi vibaya mnooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nashkuru hii tabia nilipofika darasa la 5 hiv nikaiacha, ila nilikuwa mwizi hatar, sijui ningekuwa jambazi la aina gani leo hii, ilifikia hatua mama yangu mzaz alitaka kunichoma mikono yangu moto na nina kialama cha moto mpaka leo mkononi. Kiukweli namshukuru sana mungu kwa kuniongoa.. + vipigo vya mama yangu kipenzi.
 
Ulikua unaweza nini au kipaji gani?
As for me wakuu,
Nilikua mtaalam sana wa mitego ya ndege. Kuanzia ule mtego wa mpira wa v, unagongelea vijiti vitTu kwenye ardhi inakua kama v hivi halafu katikati unawek pumba au mchele, ukiwa masta zaidi unawek waya kati then unavuta na kuweka kamba. Pia kulikua na mtego wa ungo, vitanzi na ulimbo. Jamaa wangu mmoja bae pia ni prominet member hapa jf yeye alikua ni mtaalam wa kusuka sambi aka chandimu. Yaan kitu kinadunda kama cha kununua, wapi eric kandimba mtaalm wa kusuka kona za magari ya matauri. Yaan mtatengeneza magari yenu vizuri ila lazima muende kwa erick akawasukie kona. I miss them days....
Mkuu umenikumbusha sana.

Nimepitia hiyo kadhia ya kutega ndege kwa mitego hiyo ya V halafu unaweka pumba katikati huku ukiwa imefunga kamba ndefu hadi sehemu uliyojificha ili ndege wasikuone.

Nilikuwa natumia mpira(mkanda wa Baiskeli) au Upinde kutengeneza V ya mtego.

Urimbo nimetumia pia kutega ndege hasa kwenye visima ambayo wanaenda kunywa maji, nilikuwa natafuta mti wenye matawi mengi madogo madogo halafu napaka urimbo kwenye hayo matawi na kuwenda kuweka kwenye sehemu ambayo ndege wanakuja kusimama kabla ya kushuka chini kisimani ili wanywe maji.

Pia tulikuwa tunatega chini pembezoni mwa maji kwa kuweka aina fulani ya magugu magumu marefu mithili ya waya tukiwa tumelipaka urimbo, ndege akiwa anaenda kunywa maji akikanyaga ananaswa na urimbo, akitaka kujiokoa kwa kufurukuta ndio anajinasa zaidi kwenye urimbo hadi hawezi kuruka tena.

Pia nimetumia sana upinde na mshale kuwinda ndege, nimewahi kupiga ndege wengi sana kwa mshale..

Siku moja nilileta kizaa zaa bana na upinde wangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilimpiga mwenzangu karibu na jicho(nusura ndani ya jicho).

Tulikuwa na mtindo kuambizana rusha mshale kama utamfikia mwenzako aliyesimama umbali fulani kutoka kwako, sasa mimi nikamwambia jamaa kaa tayari narusha mshale, alikuwa bado hajajiandaa ili ukimfikia aukwepe mimi nikarusha jamaa akaja kushtukia mshale ushafika alipotaka kuukwepa mshale ukampiga karibu na jicho akaanza kutokwa Damu.

Mimi nilihofia sana, ukizingatia Mtingi alikuwa noma(mkali sana) nikawa nawaza kitanuka nikifika home. Ila hakikunuka kivile wazee walikuja kuisolve hiyo kesi ikaisha.
 
Hizi harakati zako za kutega ndege unanikumbusha jamaa flani kwenye magazeti anaitwa Kipepe
 
Hahah!! I wish time could turn back unitag tukawinde wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaaaaa yaani we acha tu mkuu.

Halafu siku hizi madogo yametekwa na huu utandawazi ambao umeingia hadi interior, kuwinda hakuna tena kama enzi zetu.

Masula ya upinde hawana habari nayo, wazee ndio wamebaki na pinde na mikuki yao kama silaha za siku zote za jadi.

Enzi zetu ulikuwa ukitembelea nyumbani kwa rafiki yako ukikaribishwa geto unakuta ukuta umejaa Maupinde yamening'inizwa maana ndio ilikuwa staili ya utunzaji.

Mishale(vichwa vyenye ncha kali)(ukienda K/Koo sokoni inaikuta wanauza) tulikuwa tunaitafuta kwa uda na uvumba, mingine tulikuwa tunanunua na mingine tunatengeneza wenyewe kwa kutumia misumari hasa ile ya inchi 6.

Siku ukiwa zamu kwenda kuchunga unatoka ukiwa umebeba upinde wako na mishale yako kadhaa maridadi kabisa ya kila aina, rungu na kisu, huku pembeni una mbwa ambaye unamtumia kufukuza na kukamata ama Sungura au Digidigi msituni.

Kuna wapo walikuwa lazima warudi nakitoweo home jioni.
 
Hahah!! Mixer na visu kabisa kweli ilikua ni kwele mzee
 
Mkuu ilikuwa ukiwa porini huna kisu au panga mambo yalikuwa hayaendi.

Kulikuwa na matunda kibao ya kula ambapo mara nyingi itahitajika kisu au panga kupunguza matawi ili uweze kuyachuma.

Pia ukibahatika kupata kitoweo, utatumia kisu kukihalalisha huko huko kabla hakijafa na maumivu ya majeraha ya silaha zetu.
IMG-20161104-WA0008.jpg

Mojawapo ya matunda pendwa ya porini
 
View attachment 761880
Mojawapo ya matunda pendwa ya porini
Aisee!!

Kweli muda upo kasi sana ndugu yangu
 
Ata wadogo zako siku hizi hawafanyi tena hivyo zaidi ni Ps na FIFA
Ndio hivyo.
Wao siku hizi wanapanga misele kwa simu, sisi ilikuwa hadi utembee KM kadhaa uendee kwa mshikaji(na unaweza kumkuta au la) na pia mje muende tena sehemu mliyopanga.
 
Duh! Kweli ilikua sio poa mkuu
 
Mie nilikuwa fundi wa michezo yote kasoro kuparamia miti na kuruka sarakasi, vilinipitia pembeni kabisa.. Kibaba baaba nilikuwa lazima niwe baba nipate kuwadukunyua watoto wa watu, mpira usiseme nilikuwa fundi, mpaka leo hii na utu uzima wangu.. Nilikuwa so genius mtaa si watoto ama watu wazima walikuwa wakinikubali kichizi, nilikuwa na damu ya kupendwa..
Tatzo langu moja tu nilikuwa mwizi vibaya mnooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nashkuru hii tabia nilipofika darasa la 5 hiv nikaiacha, ila nilikuwa mwizi hatar, sijui ningekuwa jambazi la aina gani leo hii, ilifikia hatua mama yangu mzaz alitaka kunichoma mikono yangu moto na nina kialama cha moto mpaka leo mkononi. Kiukweli namshukuru sana mungu kwa kuniongoa.. + vipigo vya mama yangu kipenzi.
Ungekua unakaa mtaani kwetu ningekua nakuja kwenu kukufundisha sarakasi
 
Back
Top Bottom