Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutulia sehemu moja hakuna radha..mkuu bapa kubwa 11k, ukiwa nalo moja weekend inaisha murua kabisa hakuna haja ya kukimbia kimbia
Sijawahi kusikia nyuma kwa nyuma Kwa jinsia zote mkuuWanasema mbele kwa mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji173]Kwanza ningekuwa tayari nimeshapata mchepuko wa maana naukwida usiku kucha ila ndio hivyo sasa hv nakumbatia tu mto kibingwa