Enzi zao zimekwisha ila walitamba

Enzi zao zimekwisha ila walitamba

Hizo ni nyakati, Ya jana si ya leo.
 
Mao Santiago aliekua Chuchu Sound.
Baggzy Mallone wa KU Crew,
Nash G wa Morogoro,
Saigon (e bwana dah),
Ommy G
 
mkoloni,mandojo na domo kaya,feruz,p funk,kala pina,nak to nak,mr nice,fanan,daz baba,kshe,k sar,manger,bob jonior,mr ebbo,sister p,dataz,2 pac,b.i.g.da husler.bi kidude, aisha madinda .muumin mwijuma,bob rudala.banza stone.diof.kalunde jaz na t.i.d

dah! hadi mr ebo? sasa atavumaje wakati mtu alishafariki?
 
Q chilla, Daz baba, Daz mwalimu, Tshimanga K. Asosa, Dr. Remmy, Juma nature na Uswahilini matola.:A S 576:
 
jide ila analazimisha kuendelea kuwa juu kwa kuanzisha bifu na clouds maana alishaaasahaulika ila bifu hili kalitumia vyema namshauri arudi SDA aimbe choir.
 
chuki ya nn?? jide huyu wa sasa c yule wa kipindi kileeeeee aachie kijiti kwa hiari yake ndio maana analazimishwa anabakia kulialia tu hapa!!

mbona juzi kalamba tuzo ya msanii bora wa kike.
 
Kaz-T,, mzee wa angwisa au baba dokii
 
Back
Top Bottom