Enzi zetu Chitchat

Weraaaaaa!
Muda wao usha isha acheni na vijana wapokee kijiti sasa.
Ni sawa na kumkumbuka Ally Choki kwenye kipindi cha Christian Bella
Hahahaha imebidi nicheke kwa sauti

Wajukuu endeleeni. Wakati wakusoma hadi utafute miwani[emoji13] [emoji13]
 
Hahhahaha mm namsikiliza dada akee shunie akisema ni sawa tu kuhusu Google
Ana kosea sana ku sajest nna ID mbili tena hadharani hapa
Watu huwa wana amini hizi ishu
Pia inakuwa ni kumkosea adabu mzee wa watu mwenye ID yake
She is wrong hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…