RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kijiji si kijiji bila wazee...Weraaaaaa!
Muda wao usha isha acheni na vijana wapokee kijiti sasa.
Ni sawa na kumkumbuka Ally Choki kwenye kipindi cha Christian Bella
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiji si kijiji bila wazee...Weraaaaaa!
Muda wao usha isha acheni na vijana wapokee kijiti sasa.
Ni sawa na kumkumbuka Ally Choki kwenye kipindi cha Christian Bella
Nimekuja mrembo. Weekend leo nitakuwepo La Stanza hapo Goba nishatenga bajeti yako njoo tuburudike.Wakija msisahau kuniita
Khaaaa!!Mbona tupo tunawalea, tena tunawamudu kuliko kizazo kipya washika pembe na kula kwa macho!
Mshana Jr hakuwepo enzi za Leo Tuko Hapa PubWeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaa wako wapi wale wa enzi zile za LEO TUPO HAPA PUB
wako wapi wale wa mastori mastori ya kutisha kama ya Mshanajr, Mentor (huyu kapotea mazima sijui ndo ka............) Mtambuzi , KakaKiiza
wako wale washadadiaji kwenye mauzi ya siasa, kama Katavi,
wako wapi wale wakiona kitu basi mlango wa saba utatambua kuwa wako hahahahhahaaaaaaaa
(siwataji wasijenifunga lokapu bure hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
wako wapi wale wanaokoment masaaa 24/7 akina miss chagga, Arushaone, PakaJimmy Lady doctor, charminglady, valentine, Heaven on Earth, MTAFITI, mwallu, Kipaji Halisi , figganigga
Wako wapi waanzisha nyuzi waliobobea yaani wakongwe sana hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
siwataji wataniweka kwenye kikaango cha baba mwamba haaaaaaaaaaaaaaa
Wasalaam
Ladyf