Enzi zetu Chitchat

Enzi zetu Chitchat

Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaa wako wapi wale wa enzi zile za LEO TUPO HAPA PUB

wako wapi wale wa mastori mastori ya kutisha kama ya Mshanajr, Mentor (huyu kapotea mazima sijui ndo ka............) Mtambuzi , KakaKiiza

wako wale washadadiaji kwenye mauzi ya siasa, kama Katavi,

wako wapi wale wakiona kitu basi mlango wa saba utatambua kuwa wako hahahahhahaaaaaaaa
(siwataji wasijenifunga lokapu bure hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

wako wapi wale wanaokoment masaaa 24/7 akina miss chagga, Arushaone, PakaJimmy Lady doctor, charminglady, valentine, Heaven on Earth, MTAFITI, mwallu, Kipaji Halisi , figganigga


Wako wapi waanzisha nyuzi waliobobea yaani wakongwe sana hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
siwataji wataniweka kwenye kikaango cha baba mwamba haaaaaaaaaaaaaaa

Wasalaam
Ladyf
Mshana Jr hakuwepo enzi za Leo Tuko Hapa Pub
 
Back
Top Bottom