Enzi zetu Chitchat

Dada umekosea jamani halafu yule Google na wewe tofauti haonekani chit chat wala mmu yupo jukwaa la tec
Ana kosea sana ku sajest nna ID mbili tena hadharani hapa
Watu huwa wana amini hizi ishu
Pia inakuwa ni kumkosea adabu mzee wa watu mwenye ID yake
She is wrong hapo
 
Lakini sidhani kama alikuwa anamaanisha kaka akee si tupo chit chat alikuwa anakutania tu
Amezingua kinoma noma yaan! Watu huwa wana amini, usione wanapita kimya kama hawaoni they see it.
 
Uandishi wako na hasa hiyo 'weraaaaaaaweraaa' inaashiria unafanya kazi ya ususi..bakurututu brain!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Dada umekosea jamani halafu yule Google na wewe tofauti haonekani chit chat wala mmu yupo jukwaa la tec
Jamani
Ujue natania tuu mie, nilivyo mparamia nikijua ni yeye!!

Iceman am sorry, mie nilijua ni utani
 
Ana kosea sana ku sajest nna ID mbili tena hadharani hapa
Watu huwa wana amini hizi ishu
Pia inakuwa ni kumkosea adabu mzee wa watu mwenye ID yake
She is wrong hapo
Please kaka!!
Naomba unisemahe mimi, nilikuwa natania tuu aki!!

Please naomba yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…