Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana

Ile staili ya kupenda baiskeli unakanyaga pedel moja huku unaisukuma ikapata mwendo unarusha mguu wa pili kama unaruka teke huyoo unatoka speed. Vijana hawa wa sasa hivi sidhani kama wanaweza kuendesha hizo chuma
Ilikua inaitwa kuendeshea mgamba,yani mguu unaupitisha katikati ya ile triangle ya Baiskeli coz ya ufupi wa muendeshaji.πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…