Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana

Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
3523308305_2480033c37_b.jpg

DSCF4261.jpg


Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.😂

Sio maneno yangu alisikika muhenga mmoja.
 
Ile staili ya kupenda baiskeli unakanyaga pedel moja huku unaisukuma ikapata mwendo unarusha mguu wa pili kama unaruka teke huyoo unatoka speed. Vijana hawa wa sasa hivi sidhani kama wanaweza kuendesha hizo chuma
Ilikua inaitwa kuendeshea mgamba,yani mguu unaupitisha katikati ya ile triangle ya Baiskeli coz ya ufupi wa muendeshaji.😀😀
 
Back
Top Bottom