Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana

Ile staili ya kupenda baiskeli unakanyaga pedel moja huku unaisukuma ikapata mwendo unarusha mguu wa pili kama unaruka teke huyoo unatoka speed.

Vijana hawa wa sasa hivi sidhani kama wanaweza kuendesha hizo chuma
Pia kuna ile kama unatoka usiku,unainua tairi ya nyuma kwa stand kisha unaweka dynamo kwenye tairi na kuzungusha pedal kuangalia mwanga unaotoka kwenye taa na kurekebisha switch ya taa, baada ya hapo full kuzurula usiku
 
Aiseee...Kuna mengi sana enzi ezo...pia hata bila taa na kengele tuliendesha....
Pia
Hata bila break
 
Mi nilikuwa na nakorokochoa mwenyewe, fundi akila hela hapo labda ya kunyosha ringi tu na krispoko nampa mwenyewe, hapo kuna spana mojaa ilikuwa haikosi kwenye kibegi inaitwa "spana malaya" ilikuwa na matundo mengiiii.....[emoji3][emoji3]
Spana Malaya....bisi bisi pia...
 
Mi nilikuwa na nakorokochoa mwenyewe, fundi akila hela hapo labda ya kunyosha ringi tu na krispoko nampa mwenyewe, hapo kuna spana mojaa ilikuwa haikosi kwenye kibegi inaitwa "spana malaya" ilikuwa na matundo mengiiii.....[emoji3][emoji3]
Hiyo spana mpaka leo ninayo na niliposoma tuu post hii ilibidi niende kuhakikisha bado ipo au madogo wamepita nayo😂😂
 
Back
Top Bottom