Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #101
Mzee kigogo kumbe na wew uliendesha tobo..πUnaendeshea kwenye tobo!
Nimecheka Kuna stail nyingiiπ€£π€£Na Kuna Ile nyingine unaisukuma baiskeli huku unakimbia then unaidandia kwa juu.
Kosa la hii niliwahi kuisukuma baiskeli Ile nimedandia kwny kiti nikakalia mapumbu.h duh,so painful.
Haaahaaaπ€£Kwa hiyo wameanza kupenda wenye usafiri Toka kitambo aisee
Kuna suruali ziliitwa BIOACT na zingine TOKYO ilikua balaaNa raba yako nzuriii ya DH
Kuna zile walipewa wanajeshi Dragon PhoenixView attachment 2571100
View attachment 2571102
Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.[emoji23]
Sio maneno yangu alisikika muhenga mmoja.
Kitambo iyoKuna suruali ziliitwa BIOACT na zingine TOKYO ilikua balaa
Nimecheka SHATI la mchele mchele...Savco ya juzi , jeans Zico na shati la mchele mchele.
Hahaha kwaio hata EVA wa Eden alikua materialistic...Wanawake wanapenda materialistic Sana.
Tajir wa mtaa....unaweza kuibiwa kabisa....Ya kale dhahabu,enzi zetu mwenye Phoenix mpya mtaa mzima watamfahamu.
Pia kuna ile kama unatoka usiku,unainua tairi ya nyuma kwa stand kisha unaweka dynamo kwenye tairi na kuzungusha pedal kuangalia mwanga unaotoka kwenye taa na kurekebisha switch ya taa, baada ya hapo full kuzurula usikuIle staili ya kupenda baiskeli unakanyaga pedel moja huku unaisukuma ikapata mwendo unarusha mguu wa pili kama unaruka teke huyoo unatoka speed.
Vijana hawa wa sasa hivi sidhani kama wanaweza kuendesha hizo chuma
Haahaa, kwenye mgamba..Hata kikiwepo, binti anapendelea zaidi akae mbele kwa kuwa yeye siyo mzigo wa kufungwa nyuma.
π€[emoji23][emoji23][emoji23] una kumbukumbu sana
Namkumbuka jamaa mmoja kila asubuhi tukiwa primary atapita hivyo kwa kasi namchungulia dirishani tu
Raia wa kawaida unagusaje manowariMonowari ya kivitaππππ€£
Kuna wazee wakoloni hiigusi baiskeli yake...
Aiseee...Kuna mengi sana enzi ezo...pia hata bila taa na kengele tuliendesha....Pia kuna ile kama unatoka usiku,unainua tairi ya nyuma kwa stand kisha unaweka dynamo kwenye tairi na kuzungusha pedal kuangalia mwanga unaotoka kwenye taa na kurekebisha switch ya taa, baada ya hapo full kuzurula usiku
Aisee muda unaenda kasi sana.Tajir wa mtaa....unaweza kuibiwa kabisa....
AchaaaaaaaaKuna suruali ziliitwa BIOACT na zingine TOKYO ilikua balaa
Spana Malaya....bisi bisi pia...Mi nilikuwa na nakorokochoa mwenyewe, fundi akila hela hapo labda ya kunyosha ringi tu na krispoko nampa mwenyewe, hapo kuna spana mojaa ilikuwa haikosi kwenye kibegi inaitwa "spana malaya" ilikuwa na matundo mengiiii.....[emoji3][emoji3]
π€Halafu kuna ile mnaitumia Kengele ya Baiskeli kujitizama kama kioo,basi ukijiona uso umekua mrefu au pua kubwa mnachekana.
ππ
Hiyo spana mpaka leo ninayo na niliposoma tuu post hii ilibidi niende kuhakikisha bado ipo au madogo wamepita nayoππMi nilikuwa na nakorokochoa mwenyewe, fundi akila hela hapo labda ya kunyosha ringi tu na krispoko nampa mwenyewe, hapo kuna spana mojaa ilikuwa haikosi kwenye kibegi inaitwa "spana malaya" ilikuwa na matundo mengiiii.....[emoji3][emoji3]