mtongwe JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 1,652 Reaction score 4,468 Apr 3, 2023 #121 sitagliptin said: Hizo ndo zilikuwa za kibishoo sana nzuri Click to expand... Kulikuwa na zile nyingine ukirudisha pedeli kwa nyuma ndo inapiga breki
sitagliptin said: Hizo ndo zilikuwa za kibishoo sana nzuri Click to expand... Kulikuwa na zile nyingine ukirudisha pedeli kwa nyuma ndo inapiga breki
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Apr 3, 2023 Thread starter #122 mtongwe said: Hiyo spana mpaka leo ninayo na niliposoma tuu post hii ilibidi niende kuhakikisha bado ipo au madogo wamepita nayo😂😂 Click to expand... mtongwe, Nimecheka Kwa sauti kwenye daladala 🤣🤣🤣😂😂
mtongwe said: Hiyo spana mpaka leo ninayo na niliposoma tuu post hii ilibidi niende kuhakikisha bado ipo au madogo wamepita nayo😂😂 Click to expand... mtongwe, Nimecheka Kwa sauti kwenye daladala 🤣🤣🤣😂😂
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Apr 3, 2023 Thread starter #123 mtongwe said: Kulikuwa na zile nyingine ukirudisha pedeli kwa nyuma ndo inapiga brek Click to expand... Hio usisubutu kuanguka nje nje...
mtongwe said: Kulikuwa na zile nyingine ukirudisha pedeli kwa nyuma ndo inapiga brek Click to expand... Hio usisubutu kuanguka nje nje...
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Apr 3, 2023 #124 am 4 real said: View attachment 2571100 View attachment 2571102 Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa. Click to expand... Ungekuwa umeelewa mapema neno "'ENZI ZETU"' usingeandika huu uzi. Ni akili ndogo sana tena sana inahitajika ili kuelewa hili
am 4 real said: View attachment 2571100 View attachment 2571102 Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa. Click to expand... Ungekuwa umeelewa mapema neno "'ENZI ZETU"' usingeandika huu uzi. Ni akili ndogo sana tena sana inahitajika ili kuelewa hili