Sisi ilikua tunashindanishwa na kuku.
Ukirudi alafu ukakuta kuku wameshaingia bandani utamsikia mzee anasema kwa ukali "yani nyinyi na mabichwa makubwa mnazidiwa akili na hawa kuku na vichwa vyao vidogo".
Dah hamna kipindi nilichokua nawachukia kuku kama enzi zile