Enzi zetu ni saa 18:30 ndo umerudi home!

Enzi zetu ni saa 18:30 ndo umerudi home!

mgonga

Senior Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
174
Reaction score
562
Hapa ni ama ule fimbo za hatari, au ulale bila kula huku ukienda kuogeshwa maji baridii!

FB_IMG_15907739167611204.jpeg
 
mgonga,

Long time ago hiyooo

Hapo culture nishatoka kucheza ball na watoto wa K'nyama, nimerudi haraka kabla bi mkubwa hajarudi nakua nishachelewa, uzuri sikuwahi kupigwa zaidi ya kupewa wosia mreeeefu, lakini kesho kama kawa.
 
Sisi ilikua tunashindanishwa na kuku.
Ukirudi alafu ukakuta kuku wameshaingia bandani utamsikia mzee anasema kwa ukali "yani nyinyi na mabichwa makubwa mnazidiwa akili na hawa kuku na vichwa vyao vidogo".
Dah hamna kipindi nilichokua nawachukia kuku kama enzi zile
 
Nikizamia kweny rede na mcherereka uwiiiiiiiih nyumban natimba saa 1 usiku, kitim tim sasa na sikua nakoma.
 
Sisi ilikua tunashindanishwa na kuku.
Ukirudi alafu ukakuta kuku wameshaingia bandani utamsikia mzee anasema kwa ukali "yani nyinyi na mabichwa makubwa mnazidiwa akili na hawa kuku na vichwa vyao vidogo".
Dah hamna kipindi nilichokua nawachukia kuku kama enzi zile

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom