Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah! enzi hizo ukivaa kama hivyo kijijini wanakuita anodi shwazinega. dah! kweli evolution imetake place. dah!
Disco tulikuwa tunaenda pale Empress cinema kiingilio buku tu mwaka 1992 leo 2010 enzi za JK kingilio Bills mpaka 30,000 balaaa
![]()
Disco tulikuwa tunaenda pale Empress cinema kiingilio buku tu mwaka 1992 leo 2010 enzi za JK kingilio Bills mpaka 30,000 balaaa
![]()
Na wananume wa enzi hizo tulikuwa tumekamilika kweli kweli vijana wa leo wamelegea legea tu sijui kwa kuwa wanakula kyepe yai na fanta?
Hata mavazi yao hayashiki kiuno, ni mlegezo 2 wanasingizia Cata ...! Hata miondoko yao wana nesa nesa utafikili wana 'shokomzoba' kwenye magoti.
Zamani dawa za kuboost bunduki zilikuwa hazipo hadharani kama siku hizi, kwenye magazeti zimejaa za kila sampuli, mara shaft bomba, kifaru, chakachua nk! Umenikumbusha mbali mkuu!