Enzi zetuu bhana*

Enzi zetuu bhana*

Evarist mathias

New Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
4
Reaction score
4
Enzi zetu Bwana

Daftari ya Mazoezi ukigeuza nyuma lilikuwa na:-

Table hadi 12x12
Kubadili Centigrade Celisius kwenda fahrenheit
Uwiano wa vipimo Kilomita, Hektomita, Decimita, Sentimita na Milimita.

Za kizazi kipya sasa!

Daftari zina picha za akina Messi, Ronaldo, John Cena, Undertaker na kila mbwembwe.

Unategemea nn km so darasa zima kwenda KUBETI??

What do you expect!!

Elimu ilikuwa enzi zetu bana.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji118]
 
Madogo wa siku hizi sijawahi kumuona hata mmoja aliye beba ndude shingoni za kuhesabia.
 
Back
Top Bottom