Enzi zile za utoto

Mjema Vushanje

Senior Member
Joined
Sep 24, 2017
Posts
158
Reaction score
355
Enzi zile za utoto kule kijijini tulikuwa tunalazimishwa kuchamba kwa kuburuzika chini kwenye udongo...

Yaani ulikuwa unawahi sehemu imebinuka kidogo kisha unapachika tako huku na huku unachamba... Aisee tulikuwa na matako magumu!

Ingekuwa miaka hii wala isingefikia huko...

Magazeti kibao yapo ya kuchambia, hayafai kusoma isipokuwa kuchambia tu!

Kwasasa angalau MWANANCHI na MTANZANIA at least unasoma.

TV hakuna kabisa.

RADIO labda MAGIC FM inasikilizika.
 
kwahiyo una maanisha hapo ulipo nyero yote ina sugu kama knuckles za bondia?
ungetupiamo na picha tuone kidogo.

Aahahahahahahahaaaa looh, wakati nasoma uzi wa mtoa mada nilikuwa uso uko kwenye butwaa na mshangao like.... heeeek na nikavuta taswira jinsi walivokuwa wanajiswafi...... daaah

Ila wewe ndo umenichekesha na kuniondoa kwenye mshangao.

Pia nilijiuliza habari ya kutawaza inaingilianaje na jukwaa la siasa kumbe ni mambo ya magazeti ya kisiasa hehehehehehehehee looh.

Ila Jamalm335 wewe utakuwa mkorofi sana aahahahahahahahahahaahaa looh.

Haya ngoja waje wengine wa enzi zako waseme wao walifundishwa kutawaza kwa namna ipi looh
Aahahahahahhahahahahahahahaa
 
Kam vile tulikuwa kijiji kimoja, wakati mwingine unatafuta jiwe ambalo halina ncha kali unatumia kama vile ndo tishu yako!
 
Mkuu Kasie upo?
Kitambo sana aisee
 
Mleta uzi kama ulikuwa unachambia kwny vichuguu miaka kadhaa huo mk...u wako si utakuwa kama msasa
 
Hahahahahhaa shukria kunielewa mapipando....
Maneno matamu asili yake Tanga nami nimechovyea huko hehehehee.
Kumbeeeeeeeee watokea mapenzi yalikozaliwa? na palipo na maneno matamu kuna mapenzi matamu pia.
Kasie katika ubora wako mama,haya nasubiria utamu mwingine mie
 
Kumbeeeeeeeee watokea mapenzi yalikozaliwa? na palipo na maneno matamu kuna mapenzi matamu pia.
Kasie katika ubora wako mama,haya nasubiria utamu mwingine mie

Hahahahaha ati unasubiria... upi sasa. ...
 
Nilikuwa situlii akija mgeni labda uniletee movie ya Bruce Lee au Jack chain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…