Enzi zile za wazazi wetu...............

Enzi zile za wazazi wetu...............

Jani tu la mpapai jamani? pepo litakuwa hilo

Dada Gaga,

Labda jani lilikuwa bichi, lakini mama alikuta mtoto amefariki na ameangukiwa jani la mpapai.

The original Mullah Omar was a one-eyed bad man na aliangukiwa na missile. Kweli tuangalie majina tunayowapa watoto wetu.
 
Hilo la kwanza nimeshuhudia huyo mdada na alipata taabu za maisha mpaka umauti ulipompata hakupata raha hata kidogo ya maisha yake na mwisho wakati karibu anafariki aliwaambia watu wake wa karibu hapendi kabisa mtoto yeyote arithishwe jina lake hilo

Namfahamu jamaa mmoja anaitwa Masumbuko Lamwai ni wakili mashuhuri sana na amefanikiwa katika maisha yake sidhani kama jina linaweza likawa na tatizo kama ulivyoelezea wewe..........
 
na je hilo jina shossi umelipata wapi? definately its got nothing to do with shoes:wink2:

Nah has nothing to do with Shoes bro hata haisound sawa....... Shossi ni jina lenye asili ya visiwa vya Lamu nchini Kenya......
 
Back
Top Bottom