EPA na mambo yake


Tusichanganye mambo hapa. Suala au hoja ni kuwa hawa jamaa wanakaa VIP room! Ndilo tunatakiwa kuthitishwa hapa. Na kama ni kweli kwa nini wao wakae huko na wahalifu wengine wakae na kulalia katani? Hivi ni haki kwa mtuhumiwa fulani kuwekwa mahali pa kifahari na mwingine kuwekwa kwenye mateso? Nielewavyo mimi ni kuwa mtuhumiwa yeyote anabakia kuwa mtuhumiwa hadi mahakama inapodhibitisha kuwa ametenda kosa hilo ama la?
Kuna uhalali wa kuwaweka mahabusu ambazo zinawanyima haki ya msingi? Kukiwemo haki ya kupata mahali ambapo ni salama pa kulala kwa afya yake?
Suala la kuletwa kila siku mahakamani,,,, wala usiliongelee maana kwa mtu wa kawaida hajui hata haki zake. Nasema hivi kwa kuwa hata mahakimu hawatoi elimu kwa mtuhumiwa kuwa anatakiwa afanye nini. Ukiwa mahakamani kama hujaomba dhamana basi wewe unashtukia uko kwenye karandinga unaelekea mahabusu.
Tunahitaji elimu ya kuelewa haki zetu za msingi. Nahisi ni wachache sana wanaolewa haki zao.
 

kumbukeni deusy malya alivyoletwa mahakamani zaidi ya mara kumi kwa ajili ya dhamana. Mkuu uko sahihi kabisa
 
Ndulu ameteuliwa kuwa Naibu gavana August 2007 wakati tayari tifu ya EPA iko angani tangu mwanzoni mwa 07 na bunge la bajeti 07-08 likabebeshwa kazi hiyo.
 
Ndulu ameteuliwa kuwa Naibu gavana August 2007 wakati tayari tifu ya EPA iko angani tangu mwanzoni mwa 07 na bunge la bajeti 07-08 likabebeshwa kazi hiyo.

?????????????????????????? silewi unaelekea wapi? Uko ndani ya mada ama?
 
Two Kagoda tycoons let off hook

THIS DAY

TWO prominent business tycoons linked to Kagoda Agriculture Limited, who are considered as the main architects of the external payment arrears (EPA) scandal, will not face criminal charges despite stealing more than 40bn/- from the key Bank of Tanzania account, it has been revealed.

Sources close to the EPA investigation say the well-known businessmen ’’will be protected from prosecution at all costs.’’

’’A deal has already been sealed. The Kagoda tycoons will never see the inside of a jail � They are untouchable,’’ a well-placed source told THISDAY.

He added: ’’A lot of influential people have been compromised to make sure that the Kagoda case never goes to trial, despite the fact that it was responsible for the single biggest looting of the EPA account.’’

Insiders say an elaborate strategy had been put into action to ensure the two prominent businessmen, who are well known by the government, are not included in the high-profile EPA criminal cases at the Kisutu Resident Magistrate’s Court.

It is understood that the concerned businessmen have vowed to ’silence’ whistle-blowers such as journalists, politicians and law enforcement officials who continue to raise the Kagoda issue.

’’Those who question why the Kagoda tycoons have been left off the hook will be taken care of’’ said another source familiar with the EPA scandal.

Informed sources say another prominent businessman, Jeetu Patel, might have been used as a scapegoat to divert attention from the Kagoda issue.

’’The fact that Jeetu Patel was prosecuted despite returning tens of billions of shillings to the government was deliberately meant to serve as a smokescreen as part of the elaborate scheme to ensure Kagoda crooks don�t appear in court,’’ said our source.

’’They thought that by sending Jeetu Patel to jail, people will forget about Kagoda since all the attention of the media and hence members of the public will have shifted to this particular business tycoon (Jeetu Patel).’’

Observers say if the Kagoda tycoons are not taken to court like the rest of other suspects, this would render the entire EPA criminal proceedings as ’’one big sham.’’

So far, 20 high-profile suspects have already been arraigned in court to face various criminal charges, including conspiracy, fraud and theft, in connection with the embezzlement of more than 90bn/- from the EPA account during 2005/06.

The EPA probe team led by Attorney General Johnson Mwanyika is investigating nine other companies that were paid more than 42bn/- from the same BoT account without relevant supporting documents.

Investigations by THISDAY have already revealed that the two business tycoons behind the Kagoda company were shifting the theft of BoT funds to a dead man as part of the plot to avoid criminal charges.

One of the businessmen is believed to have personally told EPA investigators that his deceased father was the actual beneficiary of over $30.8m (approx. 40bn/-) fraudulently paid to Kagoda from the key BoT account.

In doing so, the tycoon accepted financial liability and returned all the stolen funds to the government before the October 31, in an attempt to avoid criminal charges.
 
ndege wafananao huruka pamoja.
hao jamaa wanatupiga changa la macho 2, mwisho wa siku hao wezi woote watakuwa wako nje wakinywa mvinyo na wezi wenzao waliowaacha nje...watanzania tuamke, hakuna mwizi duniani anayesamehewa akirudisha alichoiba, hii ni tokea enzi ya kaisari....
 
hii ni mbinu mana zigo la Epa jk kalichukua kwa Mkapa nae atalipiga danadana mpk uchaguzi wa pili apite then amwachie Membe tehe tehe tehe....wa tz tulie tu!!!aendi m2 jela....jiulize ki2 mfano babako akwambie kaibe hela kwenye pochi ya mama yako ukampe nyumba ndogo yake then mamako aje juu unafikiri mdingi utakusumbua sana? c atazuga tu??? thats wa sup!!!
 
Duh..Manji noma yaani amemtupia kesi marehemu baba yake hivi hivi...hela kweli ni shetani.
 
Ndulu ameteuliwa kuwa Naibu gavana August 2007 wakati tayari tifu ya EPA iko angani tangu mwanzoni mwa 07 na bunge la bajeti 07-08 likabebeshwa kazi hiyo.

FDR.Jr,

Hivi Dr. Slaa hakulijua hili au Alasiri waliandika wanachoweza kuandika?

Katika hii vita ni muhimu kweli kutenganisha mafisadi na watendaji waadilifu. Najua kila mtu ana makosa lakini itakuwa ni makosa makubwa kumwingiza kila mtendaji kwenye ufisadi.

Kwa mazingira ya TZ, prof. Ndullu anajitahidi sana na inabidi kumuunga mkono.
 
DPP ametoa taarifa kwa vyombo vya habari na hii ndio taarifa yenyewe, naamini itasaidia kuendeleza mjadala na mimi naanza kwa kuwekea msisitizo katika eneo ninaloona kuwa jipya.

 

Attachments

Taarifa nilizozipata sasa hivi zinasema mmoja wa watuhumiwa wa epa ameumizwa kwa kuchomolewa kucha moja ya kidole kwa mateso aliyoyapata ndani ya sehemu wanayoshikiliwa mtuhumiwa mwenyewe ni muhindi lakini sio jeetu patel
 
Last edited by a moderator:
Taarifa nilizozipata sasa hivi zinasema mmoja wa watuhumiwa wa epa ameumizwa kwa kuchomolewa kucha moja ya kidole kwa mateso aliyoyapata ndani ya sehemu wanayoshikiliwa mtuhumiwa mwenyewe ni muhindi lakini sio jeetu patel

Mkuu umeanza udaku eeeeehhhh....wewe ulikuwa wapi wakati mtuhumiwa akiteswa? Aliyekupa taarifa anapicha hahahahahaha Shy this is too low!!
 
Shy,

Unafahamu treatment wanayopata watuhumiwa wa EPA ''huko sehemu wanayoshikiliwa''? kama mhindi kaumia kucha basi ameteleza kwenye ngazi akaumia lakini hakuna anayeguswa sikio wala pua katika watuhumiwa wa EPA. Siku nyingine njoo na udaku uliotulia kidogo huu uko low sana!

Asante
 
Taarifa nilizozipata sasa hivi zinasema mmoja wa watuhumiwa wa epa ameumizwa kwa kuchomolewa kucha moja ya kidole kwa mateso aliyoyapata ndani ya sehemu wanayoshikiliwa mtuhumiwa mwenyewe ni muhindi lakini sio jeetu patel


Hivi we dogo ni lini utakua serious? Unatuongezea wingi wa threads tu ambazo hazina chochote ndani yake... Wanapata mateso ni watuhumiwa wa ugaidi au?
 
Ndiyo mambo ya Shay hayo!!!!!!!

Hau ndiyo yale mazingaombwe tuliyotegemea yameanza ili kuwapotosha wannchi kuhusu raha wanazozipata huko Ukonga???? Anyway, fix tu za Shy.
 
Shy bwana unanifurahisha sana!eti ukucha!nilifikiri kidole
 
Zaidi ya nusa saa imepita tangu Ndugu yetu alipotuwekea BREAKING NEWS.Watu wamehoji alikuwa wapi wakati ananasa habari hizo lakini ameendelea kuwa kimya kana kwamba sio yeye aliyeziweka hapa.Shy,vipi ndugu yangu?
 
Mods tunaomba hawa wanazusha habari wafungiwe, kuna mwingine Shy type alikuja na breakin news Rostam akamatwa....hakutokea tena na udaku ule kuutetea!! hii ya ukucha Shy katoa ya Karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…