EPA na mambo yake

Nation awaits names of key EPA players

THIS DAY

GOVERNMENT officials admit this is a crucial week for the war on corruption in the country as the nation awaits to hear news on the prosecution of major players behind the external payment arrears (EPA) account scandal at the Bank of Tanzania (BoT).

So far, prosecutors have filed criminal charges against 20 suspects linked to the massive BoT scandal.

But apart from business tycoons Jeetu Patel and Johnson Lukaza, the so-called 'big fish' in the scam remain conspicuously missing from all the high-profile action at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam.

In particular, two prominent business tycoons linked to the now infamous Kagoda Agriculture Limited company, who are well-known by authorities as being the main architects behind the EPA scandal are yet to face any legal action.

If prosecutors fail to file any grand corruption charges against the well-known masterminds of the EPA scandal linked to the Kagoda company, observers say the credibility of the entire proceedings at the court would be seriously questioned.

There has been much public criticism that only 'small fish (sardines)' have so far been charged with conspiracy, fraud and theft of EPA funds while the so-called 'corruption sharks' remain unscathed.

Officials in close contact with the EPA investigation say state attorneys at the office of the Director of Public Prosecutions (DPP) could this week file charges against more suspects implicated in the theft of more than 133bn/- from the key BoT account during 2005/06.

The DPP himself, Eliezer Feleshi, issued a brief statement on Friday saying he has returned some of the case files on the EPA investigation back to law enforcement agencies for further investigations.

It is understood that a team of state attorneys under the DPP has already concluded the rigorous task of studying all the investigation files submitted by the EPA probe team led by Attorney General Johnson Mwanyika on November 2, this year.

For the past two weeks, state attorneys have been going through hundreds of pages of documents detailing the remarkable fraud behind the EPA scandal.

However, the decision of the DPP to return some of the investigation files to investigators means that the evidence presented to his office by Mwanyika's team on some of the EPA case files was inconclusive.

Government officials say the Kagoda case is a ''highly sensitive subject'' and appear reluctant to publicly comment on the real beneficiaries behind the company.

Kagoda is the single biggest beneficiary of the EPA funds, with its architects looting more than 40bn/- from the central bank through clearly forged documents.

Sources close to the EPA investigation say their is a ''mountain of evidence'' against the business tycoons behind the Kagoda company, but authorities appear ''reluctant'' to take action against the well-connected individuals.

Investigators say the two prominent business tycoons linked to the shell company will not face criminal charges ''come what may.''

''A lot of influential people have been compromised to make sure that the Kagoda case never goes to trial, no matter what happens,'' a senior law enforcement official told THISDAY on condition of not being named.
 
Jeetu Patel na wenzake wamepata dhamana. Wametoa fedha taslimi milioni 104 kila mmoja.
 
Jeetu Patel na wenzake wamepata dhamana. Wametoa fedha taslimi milioni 104 kila mmoja.

Na sinema ndio imekwishaaa.... It was only a movie aftre all. Lets get back to reality about uhusiano wa serikali yetu na mafisadi.

Movie ndo imeisha hiyo, washeni taa...
 
Jeetu Patel na wenzake wamepata dhamana. Wametoa fedha taslimi milioni 104 kila mmoja.

kwani hiyo ndio nusu ya pesa wanayotuhumiwa "kuiba"?
au sikuelewa vyema masharti ya dhamana ambayo yaliyonukuliwa
na vyombo vya habari.
 
Date::11/17/2008
Jeetu Patel aachiwa kwa dhamana kesi za wizi wa EPA
Na Pauline Richard na James Magai
Mwananchi

HATIMAYE mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Jayantkumar Chandubha Patel, maarufu kama Jeetu Patel na ndugu zake wawili wanaokabiliwa na mashtaka ya kughushi na kuiba mabilioni ya fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), ndani ya Benki Kuu (BoT), wameachiwa huru kwa dhamana.

Watuhumiwa hao walipata dhamana hiyo baada ya kulipa zaidi ya Sh 11.6 bilioni, ili kukidhi masharti ya dhamana hiyo.

Jeetu Patel na wenzake ambao wanakabiliwa na mashitaka manne, wameachiwa huru jana baada ya maombi yao ya dhamana kugonga mwamba kwa zaidi ya wiki moja, kutokana kasoro zilizokuwa zimejitokeza katika nyaraka za wadhamini wao.

Kuachiwa kwa wafanyabishara hao kunafanya idadi ya watuhumiwa wa EPA waliachiwa huru kwa dhamana kufikia 12 kati ya 20 waliofikishwa mahakamani.

Awali kabla ya kasoro hizo kujitokeza katika shitakala nne, Jeetu na wenzake ambao mwishoni mwa wiki walitimiza masharti ya dhamana katika mashtaka matatu waliwakirudishwa tena rumande baada ya Mwendesha Mashtaka,Wakili wa Serikali, Fredrick Manyanda kuwawekea pingamizi.

Katika kesi hiyo Namba 1154 inayomshusisha Jeetu na mdogo wake Devendra K.Vinobhai Patel na Amit Nandi kwa pamoja wanadaiwa kuiibia BOT kiasi cha Sh 10.5 bilioni.

Katika masthaka yote manne washitakiwa hao walitakiwa kulipa fedha tasilimu au hati ya mali yenye thamani sawa na nusu ya fedha wanazodaiwa kuziiba na waliwasilisha zaidi ya Sh11.6 bilioni.

Katika hatua nyingine mtuhumiwa mwengine wa wizi huo, Bahati Mahenge ambaye pamoja na wenzake wanne wanadaiwa kuiibia BOT cha zaidi ya Sh2 bilioni kupitia Kampuni yao ya Changanyike Residetial Complex Limited, jana aliachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana.

Watuhumiwa wengine katika kesi hiyo ni wakurugenzi wa kampuni hiyo, Manase Mwakale na mkewe Eddah Mwakale, Davies Kamungu, na Godfrey Moshi. Manase na mkewe waliachiwa huru kwa dhamana mwishoni mwa wiki.

Wakati huo huo, mfanyakazi BoT, Ester Komu jana alijikuta akirudishwa tena mahabusu licha ya kutimiza masharti yote ya dhamana, baada ya Hakimu anayesikiliza kesi yake kutokuwepo mahakamani.

Komu ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi katika Idara ya Madeni BoT, amefanikiwa kutimiza masharti ya dhamana baada ya kulipa kiasi cha Sh104 milioni kupitia benki na kuwasilisha risiti mahakamani hapo.
 
Jeetu Patel na wenzake wamepata dhamana. Wametoa fedha taslimi milioni 104 kila mmoja.

Hizi ni shilingi ama dola ? Kama ni shilingi walishindwaje wakakaa ndani siku zote hizo ?
 
Hii case itafuata mkondo kama wa hile kesi ya Valambhia. Miaka nenda rudi with a lot of technicalities.

By the way Agustus, dont you think a rule of prejudice will apply here? kwani suala liko mahakamani nasi tunahukumu huku pembeni. Nahisi kama tunaweka undue influence kwa hakimu. Huu ni mtizamo wangu.
 
Hizi ni shilingi ama dola ? Kama ni shilingi walishindwaje wakakaa ndani siku zote hizo ?

Kunradhi:
Masahihisho ya takwimu za fedha zilizolipwa na Jeetu Patel. Taarifa za awali zilikuwa na mapungufu. Takwimu sahihi ni kama ilivyoonekana hapa chini. Fedha hizo zililipwa na Esther Komu wa BoT na si Jeetu Patel.

 
Kunradhi:
Masahihisho ya takwimu za fedha zilizolipwa na Jeetu Patel. Taarifa za awali zilikuwa na mapungufu. Takwimu sahihi ni kama ilivyoonekana hapa chini. Fedha hizo zililipwa na Esther Komu wa BoT na si Jeetu Patel.

hapa wakitoka mahakamani baada ya kupata dhamana. Je, huu ndio mwisho wa mchezo au kuna zaidi?
 

Attachments

  • Jeetu & others.jpg
    266.9 KB · Views: 86
nilibahatika kuhudhuria kikao cha ku-raise 104m kwa ajili ya dhamana ya esther komu, pesa hizo zimepatikana kwa shida sana, kwa kuchangia laki laki, hata elfu kumi kumi, si vema kuanza kuwahukumu hawa watumishi wa bot, tuwatendee haki, huyu mama ni lofa wa kutupa, mali zake ni nyumba yenye thamani ya 50m aliyojenga makongo juu, na kwa mkpo wa bot, hata kupata hati za kumdhamini shida tupu.
 
hapa wakitoka mahakamani baada ya kupata dhamana. Je, huu ndio mwisho wa mchezo au kuna zaidi?

Hii inaonekana kuwa ni End of Part I, tusubiri tuobne mazingambwe Part II yatakavyokuwa. Lakini hapa katikati kuna uwezekano mkubwa wa kuingizwa igizo jingine linaitwa Alex Stewart. Ninachohofia ni kuwa watazamaji wataanza kuchanganyikiwa sasa hivi kwa sababu sidhani kama wana uwezo wa kuelewa maigizo haya mawili yatakayoendeshwa kwa kupokezana kwa wakati mmoja
 
kuna mwingine anaitwa mwakosya naye inawezekana kwa mujibu wa wakili wake bwanan masatu, hataweza kutimiza masharti aidha ya cash au hati za nyumba, wao ni watu waliokuwa wanapelekeshwa na akina mgonja kusaini hati za malipo akina maranda wakanunue matawi ya chadema kule kigoma. ni wazi kuwa mchuma janga hula na wa kwao hivyo ndugu zao wataseka sana kuwatoa kwa dhamna hawa.
 
Ujinga wa kuwapa hawa Watanzania wenye asili ya Asia dhamana wakati hakuna ability zozote za kuwatrack ni nonsense.

I hope kuna watch dog behind him 24hours 7 days.
 
Huu mchezo mtamu sana, ngoja tuangalie hii movie! safi sana
 


.....eeeehhhh........
 
Lema katoka jamani? Lema lakini umeaibisha!wale wazee wa kule nanihii wa zamani hawakua na tabia hizi hata kidogo. Nkiki mbe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…