GT, hizo nyumba ni za pink? Is it Barbie land? Ni za kukodisha au? Is the man in qn the one who imported range rovers by air?
Kuna kitu serikali ya JK ilikuwa inavizia...Matokeo ya uchaguzi wa USA nk....Ila hapa bado sitokurupuka na kusema everything cool. Ila ni hatua nzuri ya mwanzo.
Lukaza na Malegesi ni mashahidi muhimu sana na kama kweli kesi hii inaunguruma..Basi na wao kama maisha yao yanaweza kuwa hatarini kwani wanaweza kumwaga mchele mwingi kwenye kuku wengi, on the ither hand kesi either imepangwa ama serikali inaweza ikawa imeamua iwe mbaya.
Malegesi Law chamber(Advocates) kwa kushirikiana na FAMILIA YA KINA lUKAZA ndio walifanikisha uchotwaji wa pesa za EPA kwa kupitia amri ya ccm wazazi ambapo mwenyekiti alikuwa Idi Simba.
Kama alivyosema Halisi tunawapa muda...Ila muda unazidi kuwatupa mkono kwani hapa USA change tayari imekubali na swahiba wa JK ni Bush.
GT, hizo nyumba ni za pink? Is it Barbie land? Ni za kukodisha au? Is the man in qn the one who imported range rovers by air?
Nkamangi, umeniacha hoi! huyu jamaa ni nouveau riche no taste whatsoever ni ulimbukeni tu! But nawajua wengi Bongo ambao ni absolutely classless kazi kutafuta dili za mjini. Kaazi kwelikweli....
Huyu DADA ni mtoto wa Mh Rita Mlaki (MB).
Mh. Mlaki ana binti wa miaka ya 1978s anaitwa Nambua Mlaki! Prove me otherwise!
So the question that lingers is how were these 10 related to CCM and election 2005?
Yes they can be tried and even go to jail, but how can we show or relate the EPA theft to CCM alleged masterminding this theft?
In the end, Jeetu, Lukaza will serve some time and go free, we know Ballali passed away so we do not know who forced him, but CCM will come out victorious jabbing each one of us for trying to convict them by assosiation "guilty by assosiation"
Ukweli tumefungwa goli, tunalishangilia kama Membe alivyosema Watanzania watafurahia hivi karibuni.
By the way CCM will rally all over the country and request another 5 years of Utamu!
acheni uongo! that is not Nambua.. JF kwa uvumi...lol.. I know Nambua tena i was with her a few times this summer.. That is NOT her..
ulikuwa naye wapi na mlikuwa mnafanya nini?
Hivi anakwenda GARDEN BISTRO?