Ephraim Kibonde Jahazi Show

Habari nilizozipata punde..

Mtangazaji wa clouds Fm Ephraim Kibonde ameitumia salamu Jamii Forums, home of great thinkers na ameshukuru na kuheshimu michango yake..

hizo habari umezipata kwa nani?
na wakati anatuma salamu alikuwa kwenye kipindi gani?
salamu alizotuma zinasomekaje? shikamoo, hamjambo? assalam alaikum?
 
Habari nilizozipata punde..

Mtangazaji wa clouds Fm Ephraim Kibonde ameitumia salamu Jamii Forums, home of great thinkers na ameshukuru na kuheshimu michango yake..

Mwambie na sisi tunashukuru kwa kulitangaza jukwaa hili, Long live Clouds FM, Long live Kabonde, last but not leastly... Long live Jambo Forums, God bless Jamii Forums, God bless Tanzania, God bless Africa!!
 
Aisoma report ya Mnyika Radioni lakini kwa ufupi huku akiwataka wasikilizaji waende kwenye website ya Chadema kwa taarifa zaida.

Amezidi kumpinga Mnyika kuwa hakuwa sahihi kumkosoa Membe.

Jamaa yuko biased ile mbaya, amemfananisha Mnyika na Lipuli na Membe na Man United.
 
hizo habari umezipata kwa nani?
na wakati anatuma salamu alikuwa kwenye kipindi gani?
salamu alizotuma zinasomekaje? shikamoo, hamjambo? assalam alaikum?

Kwenye Kipindi cha Jahazi, alikuwa anajaribu kujibu mabomu aliyopigwa na wana JF kutokana na kauli yake ya Jana juu ya hotuba ya Mnyika.
 
katuma Aslaam aleikum yake au salamu gani?

Jamaa was hesitating like a cat, leo hajaongea sana, mkia katikati ya miguu...ametuma assalaaaam aleikum...na kuisifia JF kuwa ni home of Great thinkers, na michango yao anaikubali
 
Kwenye Kipindi cha Jahazi, alikuwa anajaribu kujibu mabomu aliyopigwa na wana JF kutokana na kauli yake ya Jana juu ya hotuba ya Mnyika.
ha ha ha hii ndo JF bana! Long life JF!!
 
Jamaa was hesitating like a cat, leo hajaongea sana, mkia katikati ya miguu...ametuma assalaaaam aleikum...na kuisifia JF kuwa ni home of Great thinkers, na michango yao anaikubali

asiufyate hajipendi.....sifa za woga tu hizo kazitoa hakuwa na choice!!
 
Jamaa kaingia studio tu mida kama ya saa kumi na nusu, kitu cha kwanza kusema eti " nilikuwa nasoma mtandao wa jamii forums sa-sa hivi kabla sijaingia hapa"....unafanya mchezo na vichwa vya JF
 
Akimaliza kipindi lazima aingie kuchungulia tena mnasemaje...
Lakini comment aliyotoa amekuwa biased kidogo
 
Akimaliza kipindi lazima aingie kuchungulia tena mnasemaje...
Lakini comment aliyotoa amekuwa biased kidogo

Ujumbe umemfikia, na tunataka aingie humu ajibu hoja kwa hoja siyo kukimbilia redioni kubadilishana hoja na microphone.
 
BNN,
Vipi hapo kwenye nyekundu? Ni sawa?
BTW tunamshukuru Kibonde kwa salamu zake
 
Ujumbe umemfikia, na tunataka aingie humu ajibu hoja kwa hoja siyo kukimbilia redioni kubadilishana hoja na microphone.

Atakuwa guest tu mchunguliaji Kibonde tunaomba ujiunge JF ujibu mapigo kwa hoja.
 
ahahahahahaaa....the way i know these clouds guyz...sidhani kama kibonde ni heavy enough kujibu hoja za great thinkers in here...ila nahisi kijana ulimi ulimteleza kiasi cha kutokujua uzito wa mnyika kiasi cha kumwita lipuli na membe kumwita manchester utd...vice versa applies...

naamini kibonde utakuja hapa nyumbani kwetu tukufunze kufikiri hoja kwa kina....anyway..tunashukuru kwa kutujulia khali na kutu-sallllaaaam-alleykhummm..wana JF....(ila isiwe ya ki-nafki)
 
Kawa muungwana, tumsubiri aje kujibu hoja. Je Mr. JD naye kasema chochote?
 
Mwongo mtupu jamaa ni memba hapa mnadanganywa sio guest

Mi sidanganyiki

BTW amekiharibu kipindi cha kutoka magazetini kwenye jahazi zamini nilikuwa nakipenda alikuwa anasoma vizuri vichwa vya habari vizuri then siku hizi kichwa cha habari kimoja baada ya hapo ni kujisifia tuuuu haendi kwa time tena kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…