Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Mtangazaji wa clouds Fm Ephraim Kibonde ameitumia salamu Jamii Forums, home of great thinkers na ameshukuru na kuheshimu michango yake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari nilizozipata punde..
Mtangazaji wa clouds Fm Ephraim Kibonde ameitumia salamu Jamii Forums, home of great thinkers na ameshukuru na kuheshimu michango yake..
Habari nilizozipata punde..
Mtangazaji wa clouds Fm Ephraim Kibonde ameitumia salamu Jamii Forums, home of great thinkers na ameshukuru na kuheshimu michango yake..
hizo habari umezipata kwa nani?
na wakati anatuma salamu alikuwa kwenye kipindi gani?
salamu alizotuma zinasomekaje? shikamoo, hamjambo? assalam alaikum?
katuma Aslaam aleikum yake au salamu gani?
ha ha ha hii ndo JF bana! Long life JF!!Kwenye Kipindi cha Jahazi, alikuwa anajaribu kujibu mabomu aliyopigwa na wana JF kutokana na kauli yake ya Jana juu ya hotuba ya Mnyika.
Jamaa was hesitating like a cat, leo hajaongea sana, mkia katikati ya miguu...ametuma assalaaaam aleikum...na kuisifia JF kuwa ni home of Great thinkers, na michango yao anaikubali
Akimaliza kipindi lazima aingie kuchungulia tena mnasemaje...
Lakini comment aliyotoa amekuwa biased kidogo
Sio mbaya akasaidia kulitangaza jamvi letu.
Aisoma report ya Mnyika Radioni lakini kwa ufupi huku akiwataka wasikilizaji waende kwenye website ya Chadema kwa taarifa zaida.
Amezidi kumpinga Mwanyika kuwa hakuwa sahihi kumkosoa Membe.
Jamaa yuko biased ile mbaya, amfananisha Mnyika na Lipuli na Membe na Man United.
Ujumbe umemfikia, na tunataka aingie humu ajibu hoja kwa hoja siyo kukimbilia redioni kubadilishana hoja na microphone.