Ephraim Kibonde Jahazi Show

Wajameni naomba kama kina mtu anaweza kunisaidia Satelaite settings za hawa jamaa (clouds TV)
 
Tangazo lake na muonekano wake ni vitu 2 tofauti, maana lile tangazo lilikuwa lina ashiria ni kipindi cha comedy but nilipo angalia juzi sikuona mantiki ya comedy sasa nashindwa kuelewa hata mie
 
Bora mia Sharubu za za paka(antenna) hazikamati hiyo tv!!:A S angry:
 
Kibonde anafaa sana kwa komedi za radioni na si za tv.

Huenda alishauriwa aandae kipindi cha tv chenye mrengo wa mambo ya kipuuzi ayafanyao kwenye jahazi, nae akapokea ushauri bila kutumia akili.

Ushauri.

Awe anafanya rehearsal mbele ya dressing table peke yake,,ajione kama ni presentable mbele ya watu kama anavyojidanganyaga.
 
Last show alianza kumboa yule wa magazeti nikajikuta nami nimeboreka fasta nikahama chaneli..
 

You are absolutely right,my brother
 

ha ha ha ha ha ha
 
Last show alianza kumboa yule wa magazeti nikajikuta nami nimeboreka fasta nikahama chaneli..
Kama ilivyo kwa redio yao hata hii TV ni bureee kabisa hebu check hii Ki -bonde show yao ya juzi

 
Last edited by a moderator:
Kibonde ni kubwa jinga kangi ikujobha isya butungulu........aka na mahala......kipindi chake hakina dira wala maana acheni kukiangalia tukipotezee
 

akiuchukua ushauri wako anaweza akafika mbali...kuna watu mvuto wao ni uwasikilizie tu na usiwaone,wengine uwaone na uwasikilize pia ila bahati mbaya kwa rafiki yetu huyu mvuto wa kicheshi kimuonekano hajajaaliwa ndo maana akiwa luningani wengi huboreka kuliko wakimsikiliza...ushauri wangu pia kwake ni aendelee na upuuzi wa redioni kuliko runingani ambapo kuna hatari ya kupoteza baadhi ya mashabiki wake ambao walikuwa wanapenda kumsikiliza na kujenga picha ya jinsi ya muonekano wake mbele ya jamii....nachoamini runinga ina wenyewe na redio pia!!!
 
Kama ilivyo kwa redio yao hata hii TV ni bureee kabisa hebu check hii Ki -bonde show yao ya juzi


hkik kipindi kinaitwaje? lol!! huyu jamaa ni mwehuu sijawahi ona,au ni comedy nayo nini hii
 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi hakuna watu humu jamvini wenye BLACKBERRY PHONES?
Sijui ni ulimbukeni au ni ni,huyu mtangazaji wa clouds fm ephraim kibonde kila cku lazima asifie cm yake utadha he is the only one dunia nzima anayemiliki that type of mobile device.

i cant deny kuwa ana porojo but mh kapitiza. mi mbona naona blackberry si issue maana zipo pia ambazo price yake ni reasonable. kama atapitia hapa jf namshauri aache ulimbukeni kama c ushamba.
 
Mshamba sana huyu dogo...........ni hapo juzi tu alikuwa anatuomba nauli naul;i lakini baada ya kupata fedha za epa za ccm anajifanya mjanja!
 
Mkuu naona kwa msisitizo umepost from your mobile device which suppose ni BB
 
kibonde mi namwona poa tu lakin
katka kpnd chake lugha anayotumia na vitendo anavyofanya kidogo si vya heshima
ajue watu wanakaa na watoto wao kuangalia tv jaman sasa kidg lugha anayotumia iwe ya adabu manake mmh
apana bwana lugha yake nzito kwa media km ile
SI KILA SEHEMU UNAWEZA LETYA MASIKHARA NA ATA KM UNALETA MASIHARA BAS YAWE YA AADANU PALE SI KIJIWEN
 
Mara zote ukitaka uwezo wako kufikiri upungue msikilize kibonde.... ni kitu gani kipya utapata kupitia kibonde show???????????????? ndg usidhalilishe elimu na utaalamu ulonao kusikiliza huyu jamaa.

By the way tukizungumzia sana kuhusu kipindi hiki tutakipa umaarufu, achana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…