Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,288
Wajameni naomba kama kina mtu anaweza kunisaidia Satelaite settings za hawa jamaa (clouds TV)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na maana kwa mtu mmoja, .....not necessarily kiwe na maana kwa mtu mwingine.............Vinginevyo kila mtu akisema apange vipindi kwa namna anavyoona yeye, basi hakuna kipindi kitakachoonyeshwa popote............. Fikiri home kwenu...........
Saa 2 kamili usiku unataka taarifa ya habari..............lakini mkeo anataka tamthiria............... na mwanao anataka katuni za DSTV kwenye luninga hiyo hiyo.........................
PAMOJA NA HAYO KAMA KUNA KITU HUKIOENDI KWENYE HIZI TV ZETU NA HAKIVUNJI SHERIA YA NCHI............basi.............kipotezeeeeeeeeeeeee................... na si kulalama utadhani wewe ni muonja vipindi (POMBE) halafu ukiona kuwa ni kizuri nasi tukipende........THAT IS NOT KUWEZEKANA..............BANA.
you are assolutely right .... Mimi nilikuwa nimekaa na wadogo zangu *si wadogo kiviiile but kiumri nimewapita sana) nilijikuta nimehamia chumbani huku mwanangu wa miaka miwili na nusu anayejifunza kusema ananifuata nyuma akiimba machuduchi machuduchi.
kama ni cha uchekeshaji basi nawashauri wawe wanaangalia na maneno wayatumiayo otherwise kihamishiwe usiku mwingi
Kama ilivyo kwa redio yao hata hii TV ni bureee kabisa hebu check hii Ki -bonde show yao ya juziLast show alianza kumboa yule wa magazeti nikajikuta nami nimeboreka fasta nikahama chaneli..
Kibonde anafaa sana kwa komedi za radioni na si za tv.
Huenda alishauriwa aandae kipindi cha tv chenye mrengo wa mambo ya kipuuzi ayafanyao kwenye jahazi, nae akapokea ushauri bila kutumia akili.
Ushauri.
Awe anafanya rehearsal mbele ya dressing table peke yake,,ajione kama ni presentable mbele ya watu kama anavyojidanganyaga.
Kama ilivyo kwa redio yao hata hii TV ni bureee kabisa hebu check hii Ki -bonde show yao ya juzi
Mimi naona yeye ni zaidi ya zecomedy na kipindi chakehkik kipindi kinaitwaje? lol!! huyu jamaa ni mwehuu sijawahi ona,au ni comedy nayo nini hii
Mkuu naona kwa msisitizo umepost from your mobile device which suppose ni BBJamani hivi hakuna watu humu jamvini wenye BLACKBERRY PHONES?
Sijui ni ulimbukeni au ni ni,huyu mtangazaji wa clouds fm ephraim kibonde kila cku lazima asifie cm yake utadha he is the only one dunia nzima anayemiliki that type of mobile device.
i cant deny kuwa ana porojo but mh kapitiza. mi mbona naona blackberry si issue maana zipo pia ambazo price yake ni reasonable. kama atapitia hapa jf namshauri aache ulimbukeni kama c ushamba.