Kweli mkuu, ulikuwa busy sana jana...umelala kweli?nilikuwa nakesha mbele ya keyboard yangu kuhakikisha kwamba ninyi watu mnatukubali wasanii kwamb a tunaweza na tunaaminika.
Mungu awabariki kwa kuunga mkono juhudi za kila kundi hapa nchini hasa makundi yaliyosahaulika.
tanzania ni yetu na tutaijenga wote
Wa aleikum salaaam kwa niaba yake.....lol! Usinirarue Ze Finest nilikuwa najaribisha tu vike Kibonde angeitika huku kajiinamia kichwa chini.
Kibonde mbona bwabwa lile !!!!!!!!!!!!!!!
Nakaaya ndo kwisha habari yake heshima yake imeshuka mpaka Zero
Niko against Kibonde lkn kaka r u sure abt that? Kama uko sure mwaga maevidence
Muulize mwenyewe uone kama atabisha