Ephraim Kibonde Jahazi Show

They say dont underestimate anybody, Mr Two is a live example.
 
:smile:..kwa mtazaomo wangu kibonde ana utani mwingi mpakaa ana pitilizaa,MR II amemchana live kwenye hiyo nyimbo,ana tabiaa za kutusii watu...kuropokaa sanaa tu,hii ni mbayaa sanaaa
 
Huku mbeya jana hatujalala kabisa.Mgombea wa CCM amekimbia kwenye kituo cha kukusanyia kura
 

hawa njaa zitawauwa.wanasalitiwatz kwa mafisadi. hongera sugu.
peoples!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Sasa hapa ndio kuna utata! Sugu asiwasahau wasanii wakati wao hakuna aliyempa support kwenye kampeni except wasanii wanne tu! C'mon man wasanii wa Tz ni hovyo sana walitakiwa wampe full support mwenzao wao wakawa wanamponda...Sasa awatetee kivipi??
 
sugu is hundred percent smarter than kibonde........personally i dont even listen to clouds fm jahazi the show i used to like
 
Ujinga unamsumbua msomi huwezi kuwa na mawazo mgando kivile

Halafu anachosahau ni kuwa SUGU hajajichagua, amechaguliwa na watu wa Mbeya mjini, kwa hiyo unaposema lolote kuhusu Mbunge wao ina maana unawasema wao (watu wa Mbeya) ninamshauri angeuliza nini kimefanya watu wa Mbeya wamchague kabla ya kuongea kitu juu yake

Njimba
 
MC Kidonde anajipendekeza ili apate kuitwa labda anaitaka nafasi ya salva Rweye wa pale kino karibu na A.M maana kejeli nying
 
Jamani Kibonde sio mbaya mnavyosema! Sugu hongera bana!
 
Analiwa kiboga mshenzi tu huyu. Na nilichaacha kusikiliza upuuzi wake mjinga mkubwa huyu, na sijui hata alisoma shule ii huyu mjinga
 
Plz naombeni tuachane na masuala ya Kibonde hapa tujadili masuala ya Msingi, maana mambo ya kibonde tuyaache wayazungumzie wakina mama vibalazani na ndani ya daladala basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…