Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
ndo maana watu wanamwita bwabwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zaidi, na zaidi... zaidi na zaidi
Niko against Kibonde lkn kaka r u sure abt that? Kama uko sure mwaga maevidence
Wasanii wenyewe majority walimbetray wkt wa campani wakahamia kwa mafisadi i.e chege,diamond,temba, marlaw, kanumba ,ray ,mzee yusuph na wengine kibao, acha wafu watetewe na wafu wenzao SUGU KATETEE WANA MBEYA MJINI NA WATANZANIA KWA UJUMLA. UR DA MAN, HONGERA SANA FOLK
we si ukamjaribu tuu.....
Sasa hapa ndio kuna utata! Sugu asiwasahau wasanii wakati wao hakuna aliyempa support kwenye kampeni except wasanii wanne tu! C'mon man wasanii wa Tz ni hovyo sana walitakiwa wampe full support mwenzao wao wakawa wanamponda...Sasa awatetee kivipi??Hongera sana Sasa SUGU usiwasahau wasanii wanabanwa sana Haki miliki na kuibiwa Haki zao sasa,, Maagizo yangu ni kufuatilia Payments za wasanii Redio zinatakiwa ziwalipe wasanii pia Waigizaji (ni wasanii kwa ujumla wawe na maisha bora,, wewe ndo mtetezi wao,, Sugu ooooyeeeee)
Lakini mshauri aende na pesa kidogo usiende hivi hivi bure tu. jamaa pesa mbele
Kibonde wa Clauds ni kichwa maji!
Msifanye watu wakaenda na kuishia ngeu...., semeni kweli kwani wengine ni maa...Anglican wa kutupwa,
Ujinga unamsumbua msomi huwezi kuwa na mawazo mgando kivile
Anti virus latest volume nitaipataje....