I totally agree with you guys! Kibonde sijui hiyo taaluma ya Utangazaji kajifunzia wapi? Huwa hana point kabisa yaani kichwani ni zero! Clouds nafikiri imekuwa ni Radio ya CCM hilo halina ubishi. We Joseph Kusaga na mwenzio Ruge (tena wewe Ruge ni msomi) mnawezaje kuwaweka watu kama hao wasiokuwa na data halafu wanajifanya wanachambua, hao wanafaa kwenye Jahazi tu lakuongelea mipasho na mambo ya mjini na burudani tu, masuala ya siasa waweke pembeni kwani hakuna wanalolijua, wote ni bogus.
Having said that, I prefer not top mention it here about his status whether it is true or not! Sio vizuri baadhi ya watu hapo juu wanavyocomment about his status. It is not right al all. Lets just talk about things but not his healthy I dont think it concerns us or rather say this is not the place for kunyanyapaana, after all sio wote ambao wamepima humu ndani.