Ephraim Kibonde Jahazi Show

KIBONDE am sure unapita humu sasa hebu angalia unavyojiharibia mweh yaani sijui ni mtu wa namna gani wewe.. SHAME ON YOU.... Wacha kujipendekeza
 
Mimi mnanikera mnapo mpa facelift hapa JF....Mwishowe kutakua na Kibonde Forum...kila siku kibonde kibonde...aaargh
Umenena Kaka. Nakugongea Thanks sasa hivi. hivi anaaendelea kuleta threads za Kibonde hapa ni nani, Mods stop this pleez
 
Ni kawaida ngoma ikivuma sana inapasuka.Kibonde sasa anajiona umaarufu umekuwa mkubwa anafikiri atapewa ubunge wa kuteuliwa kama wavaa vikuku wenzie(sorry).Hata apige domo kiasi gani atabaki hivyohivyo tu.
 
umenena kaka. Nakugongea thanks sasa hivi. Hivi anaaendelea kuleta threads za kibonde hapa ni nani, mods stop this pleez

ni mimi jamani nisamehe sana, ila hasira ndio iliyonifanya nijistukie nimeandika, nimeshindwa kujizuia
 
Jamani sidhani kama tuna muda wa kujadili mambo ya Kibonde hapa. We have more serious issues zenye tija kuliko huyu kumwongelea huyu mtoto. Usitake kumpandisha chati bure. Kama anaku-bore basi dawa pekee ni kutosikiliza clouds au kipindi chochote anachotangaza.
 
Kibonde kapoteza mvuto,

I can assure you that there are very few people who are following up your crap program. I used to like his programs but the i got pissed off his foolish comments.

Nadhani tatizo kubwa ni elimu aliyokuwa nayo. Navyofahamu mimi Clouds ni redio ya burudani. Kibonde anapaswa kujua kuwa Tanzania kwa sasa tunafuata mfumo wa vyama vingi, si haki kukipigia debe chama fulani kwa kujifanya anaburudisha. Ni upuuzi mtupu. Kuna redio kama Uhuru fm tunajua ni ya CCM na hamna mtu atakayelalamika wakifagilia CCM.

Chagua moja, tujulishe kama Clouds ni ya CCM au acha upuuzi wako wa kuropoka ovyo.
 
Kibonde ni zumbukuku, ila nafikiri anataka kujijegea mazingira fulani ndani ya ccm, utashangaa iko siku anateuliwa viti maaluum kwa ajili ya kujipendekeza kwake, achana nae hana umuhimu wwowote
 
Ngoma ikivuma sana ..... imekaribia kupasuka.
Kibonde na CLOUDS FM walipata umaarufu na sasa wanajichimbia kaburi

Wait and see
 
And the thread is closed. Mods please do something...
 
mmmh!!!!
mbona mnamjadili mpumbavu, nasi tutaonekana wapumbavu....
 
:A S-baby:Wee bado unasikiliza Clouds, mimi nilisha acha muda mrefu. Mimi nadhani Clouds hamna management unaposhabikia chama kama CCM, chama cha Mafisadi, wazee, wanawake wa majumbani, watu wasionda shule halafu unasema ni Radio kwa ajiri entertainment ya vijana ambao wengi wameonyesha kutaka mabadiliko, sijui wanajihakishia vipi kwamba wanapata wasikilizaji wa kutosha. Ilikupata matangazo. KIBONDE ataiua Clouds.
 
Huyo ni mc wa kwenye maharusi kubwabwaja kawaida maana mc-msema chochote so pumba hawezi acha huyo jamaa
 

Naomba nikuambie hawa jamaa mambo mengi wanayoongea wakiwa hewani ni ya kukurupuka hawajiandai ndo maana utawasikia wanaongea kama watoto wa primary school wanaocheza rede.. Labda kama kuna mtu anayekuja kuhojiwa ndo only wanaandaa maswali!!! Huyo Kibonde na kitambia chake jujuu kama mtu mwenye pumu na jisura lake bovu anaropoka HOVYO TU..
 
Nimechoka na habari za KIBONDE wa mawingu. Hivi hakuna redio nyingine msikilize? Hii inazidi kumfanya huyu bwana aonekane ni CELEB hapa JF, achaneni na kumuandika na kumsikiliza huyu bwana, tushamjuwa kuwa ni kilaza tu na hana point. Kuendelea kumdiskazi ni kumuongezea umaarufu. Kuna jamaa aliema
Mwehu akikunyang'anya nguo, chuchumaa wala usimkimbize usijeonekana we ndo mwehu.
Fanyeni media boycott na msikilize redio nyingine ila kwa bongo sijui mtasikiliza redio gani isokuwa na ushabiki wa kijinga kwa mafisadi.

Ni simpo tu, tengeneza mp3 za muziki na sikiliza asubuhi hadi asubuhi!
 
Hongera kwa kukerwa na mteja wa ARVs pale Tumaini Hospitali
 
Hongera kwa kukerwa na mteja wa ARVs pale Tumaini Hospitali

kwani alijitangaza??yeye kaamua kuficha kama ana UKIMWI japo watu uwa wanakuwa nae kwenye tiba yanini mmuumbue, ujue anaweza kufungua kesi zisizo na kichwa wala miguu kama alivofanya MBATIA kule jimbo la kawe baada ya kugaragazwa na wanawake kwenye ubunge
 

Daaaaah Basi huyu jamaa ni mse....... sana. Khhaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…