Ephraim Kibonde Jahazi Show

huyo ndo mnafiki mkubwa sana, kwa hiyo kibonde akisema wote tukubali?

we vipi? peleka hii jukwaa la jokes kibonde ni nani katika nchi hii?
 
siku nyingine usirudie kupost upuuzi kama huu.

kibonde kibondeee...... ni nani huyu. yule ni mc so hachagui maneno na ni muongo na kipenzi cha ccm hana lolote
 
HUENDA NDUGU YAKE KAPATA MKOPO WA HELSB 10% sasa ndio kapata tamu ya ccm au kanunua petrol sh 6000 per litre!au mgao wa umeme maji kishaanza kupata machungu!au hajasikia jinsi gani tz inanufaika na kupanda kwa bei ya GOLD ktk world market!au cement dar sasa sh 15000 etc
 
Wana JF, huyu jamaa anatupima kwamba ni karata gani ya CCM itatubadilisha fikra zetu.
Kwa taarifa yake HAT AKIJA NYERERE leo kwa CCM iliyopo HAPATI KURA zetu, narudia tena, HATA NYERERE HAPATI KITU ije huyo makufuli!!!!.
 
KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO

nashawishika kuamini username yako si bure inareflect ulivyo bongolala kibonde ni nani hata awasemee wananchi tuyaache hayo hiyo jahazi unayosikiliza wewe ni tofauti na tusikilizayo sisi wengine usimwekee mtu maneno mdomoni kibonde hayo unayotaka kuwaaminisha wanajamvi kukuamini!
 
Kibonde kazi yake kumchekesha Gadner tu studio,kwanza leo wamechukua mda mrefu sana kujadili dini bila kujali itachukuliwa vp na wasikilizaji wa imani tofauti,anasoma magazeti akikuta habari haimpendezi anakatisha na kuanza kutoa comment mbovu mbovu wakati anachotakiwa na kusoma tu na si kuongezea wala kupunguza.Kwa hiyo ni kichwa fulani mufilisi hivi.
 
The name says all, KIBONDE.

Baba Huruma, Ndio Mzee, Sawa Mzee, Nimekusikia Mzee, Nitafanya Hivyo Mzee and no questions asked.
 
KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO

sina imani na mnaoleta ishu za kibonde hapa, ama mnapewa fedha za kutaka kumkuza mbona hana taito kihivyoo
kwani yeye nani kwenye taifa hili ni heri hata muwe mnaleta taarifa za Mrisho Ngasa, Ama Mgosi ambao]
ni watumishi wa taifa kitengo cha futiboli ebooooooo!!Q!!
 
Please, next time post issues kutoka kwa watu waadilifu
 
Hili jina la kibonde maana yake kilaza or au?

ha haa haa mkuu,
kibonde ni msamiati wa mitaani yaani kitu kisicho na uwezo
kama ni timu ya mpia, yaani timu pinzani zinajitwalia tu mapoint
zikikutana nayo, sasa kwa kuwa jina linatumika kwa mtu wa kiume
siwezi jua labda wenzie wanajitwali vitu vyake
 
Kibonde mnafiki mkubwa yule bana mdogo..............anaganga njaa ccm na kujifanya anajua wkt sisi tunamuona ni msukule tu wa sheikh yahaya...............
 
Usikute mleta mjadala huu ndo kibonde mwenyewe kila siku kibonde huku kunanii Nahisi amejua huku JF ndo watu wanapotekea ati!!
 
Nilihappen kuwa mahali last wkend.

Kibonde alikua na vijana wenzake wote walikua wanamponda kwanza kashjidhalilisha kwa wapenzi wa kipindi cha JAHAZI
Ameonesha sura yake halisi ya tamaa ya hela ili tu kumsifia mtu bila kujali kazi na hisia za wapenzi wake
Ameonesha pia mtu mwenye upeo wa chini na asiejua wala kufikiria akisemacho
Mtu asiyejua kusoma alama za nyakati........

na walimsihi saaaaaaaaana hao vijana wenzake kuachana na tabia yake hiyo

Cha ajabuu huyu jamaaa ni mbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiishi aliendelea na msimamo wake
mpaka jamaa wengine waliondoka wakamuacha na mabawana 2 (6waliondoka).

sijui ndio kaanza kujisafisha au laaa

nawakilisha
 
Who is Kibonde in this political world, who is he in CCM, Kibonde is just a presenter in Cluds, uwezo wake wa kufikiri na kusema ni mdogo sana, kwajinsi alivyo atakuwa na mahusiano ya karibu na mzee makamba, wanaweza kuwa ndugu ingawa mwenzake makamba ni miongoni mwa wana chama chakachua matokeo(CCM). He is lost and desparate in his life anajaribu kujionesha but he is nobody, let us be focused and lets make the needed changes tuachane na watu kama hao.:A S angry:
 
Dawa ya Kibondwe aaah samahani I mean Kibonde ni Sugu na gazeti la Kiu baas!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…