Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO
KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO
Hili jina la kibonde maana yake kilaza or au?
Hivi huyo Kibonde ni influential sana eeeh? Mana kila siku humu Kibonde Kibonde...
Dawa ya Kibondwe aaah samahani I mean Kibonde ni Sugu na gazeti la Kiu baas!Kibonde kazi yake kumchekesha Gadner tu studio,kwanza leo wamechukua mda mrefu sana kujadili dini bila kujali itachukuliwa vp na wasikilizaji wa imani tofauti,anasoma magazeti akikuta habari haimpendezi anakatisha na kuanza kutoa comment mbovu mbovu wakati anachotakiwa na kusoma tu na si kuongezea wala kupunguza.Kwa hiyo ni kichwa fulani mufilisi hivi.