Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Kweli mkuu, me nashangaa kila kukicha kibonde kibonde, naona jamaa wamemfanya celeb wa JF. Everytym i see the name i feel disgusted. Achaneni na huyu mtu tafuteni mada nyingine jamani!Hivi huyo Kibonde ni influential sana eeeh? Mana kila siku humu Kibonde Kibonde...
Kweli kabisa.Please, next time post issues kutoka kwa watu waadilifu
KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO
nashawishika kuamini username yako si bure inareflect ulivyo bongolala kibonde ni nani hata awasemee wananchi tuyaache hayo hiyo jahazi unayosikiliza wewe ni tofauti na tusikilizayo sisi wengine usimwekee mtu maneno mdomoni kibonde hayo unayotaka kuwaaminisha wanajamvi kukuamini!
Hivi huyo Kibonde ni influential sana eeeh? Mana kila siku humu Kibonde Kibonde...
KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO
kuna watu ni bongolala... bila kibonde hawalali wala hawaliHivi huyo Kibonde ni influential sana eeeh? Mana kila siku humu Kibonde Kibonde...
Ki-ukweli Magufuli pekee ndiye anayekubalika na wananchi. Ni mchapakazi; mfuatiliaji mzuri na anafanya kazi kwa faida ya wananchi. Ukiwaweka wawili, yaani Magufuli na Slaa lazima Magufuli atakuwa kidedea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!au mmesahau kashkash zake na magari ya serikali? Waliojimilikisha walirudisha wenyewee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!si mchezo mwanangu!!!!!!!!! huyu bwana ndiye anayeweza kuinyanyua sisiem!!!!!!!!!!!!