Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde Jahazi Show

Haku maanisha hivyo ulivyoelewa wewe... Hicho kilikuwa ni kijembe kwa wale waliokuwa wanasema CCM haikubaliki na sasa ndio inaongoza nchi!
 
Bosi wa clouds si ni kada wa CHICHIEM, Kibonde anatumwa kubweka ka MIKAMBA anavyotumwa na KJ, huyu bora angepewa kile kipindi cha taarabu cha akina nanii...!
 
Hivi huyo Kibonde ni influential sana eeeh? Mana kila siku humu Kibonde Kibonde...
Kweli mkuu, me nashangaa kila kukicha kibonde kibonde, naona jamaa wamemfanya celeb wa JF. Everytym i see the name i feel disgusted. Achaneni na huyu mtu tafuteni mada nyingine jamani!
 
KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO

magufuli sio suluhisho ndugu yangu, anaonekana ana misimamo mikali, ukikumbuka kikwete alipokuwa anaingia madarakani utapata jibu, kikwete alionekana atabadilisha mambo mengi na wananchi wakawa na matumaini kwani alionesha msimamo thabiti, ila aliishia kuzibwa domo na vikongwe wa ccm: hivyo jua kaka amini usiamini magufuli ataishia kama kikwete alivyo ishiwa nguvu na mafisadi na washika dau wa ccm suala ni kubadili chama kabisa, ili wajifunze
 
nashawishika kuamini username yako si bure inareflect ulivyo bongolala kibonde ni nani hata awasemee wananchi tuyaache hayo hiyo jahazi unayosikiliza wewe ni tofauti na tusikilizayo sisi wengine usimwekee mtu maneno mdomoni kibonde hayo unayotaka kuwaaminisha wanajamvi kukuamini!

Lenana umamaliza niliyotaka kusema
 
Ccm waweke magufuli ama mafunguo jumlisha mavitasa na makomeo kasoro mamilango toa mageti mara manyumba gawanya kwa mashamba sawasawa na mafisadi.siwapi kura yangu hata wavae salama condom au wakose kwenda choo siwapi kura yangu magufuli si ndie aliuza nyumba za serikali kwa mafisadi leo hii uzuri kautoa wapi? Ccm ni mavi kunuka haina maana kabisa.
 
Hivi huyo Kibonde ni influential sana eeeh? Mana kila siku humu Kibonde Kibonde...

ni yeye mwenyewe anayeweka hayo mabandiko maana sizani kama anaweza kuwa na mpambe wakati mwenyewe ni mpambe wa watu ..
 
Nashangaa kama kuna watu mnamsikiliza huyo kibonde na Jahazi yake:doh:
 
KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO

Usithubutu kuandika tena uharo huu...
Kama ukipashindwa hapa nenda Facebook utakutana na wakurupakaji wenzioq
 
Ndio maana Kina Ruge wanapeta kila siku , huwezi amini kumbe clouds wana wasikilizaji wengi, yani hiki kifo cha Media za TZ, Kuanzia Radio na sasa Tv, Ikulu wamsha ikamata , kazi kwetu .
 
Tanzanians know better than that. We all know what does a word KIBONDE mean in SWAHILI. Means UBONGO UMEJAA MAJI.
 
Ki-ukweli Magufuli pekee ndiye anayekubalika na wananchi. Ni mchapakazi; mfuatiliaji mzuri na anafanya kazi kwa faida ya wananchi. Ukiwaweka wawili, yaani Magufuli na Slaa lazima Magufuli atakuwa kidedea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!au mmesahau kashkash zake na magari ya serikali? Waliojimilikisha walirudisha wenyewee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!si mchezo mwanangu!!!!!!!!! huyu bwana ndiye anayeweza kuinyanyua sisiem!!!!!!!!!!!!
 
Hivi nani aliuza nyumba za serkali na baadaye ikaja kujulikana kwamba aligawia ndugu zake nyumba za serikali?
 
Ki-ukweli Magufuli pekee ndiye anayekubalika na wananchi. Ni mchapakazi; mfuatiliaji mzuri na anafanya kazi kwa faida ya wananchi. Ukiwaweka wawili, yaani Magufuli na Slaa lazima Magufuli atakuwa kidedea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!au mmesahau kashkash zake na magari ya serikali? Waliojimilikisha walirudisha wenyewee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!si mchezo mwanangu!!!!!!!!! huyu bwana ndiye anayeweza kuinyanyua sisiem!!!!!!!!!!!!

Tukumbuke Mambo makubwa ya John Pombe Magufuli Enzi Hizo
(i) Aliadabisha na kufukuza wahandisi wazembe 224 Wizarani
(ii) Alizifuta kampuni hewa za makandarasi zaidi ya 1000
(iii) Alirudisha magari, mitambo na pikipiki zikiwa mali za serikali zaidi ya 21,000 na kuyasajili upya mfano PT,DFT,STK, US n.k zoezi hili liliigwa na Kenya na Uganda
(iv)Alimwadabisha mkandarasi aliyekuwa akijenga barabara ya Dsm-Bagamoyo kwa kutotii mkataba kitu kilichompelekea kufilisika
(v) Aliahidi kusafiri kutoka Mtwara kwa taksi mpaka Bukoba-ndoto imetimia
(Vi) Na mengine mengi mtayaongezea

Huu ndio uzalendo tunaoutaka " matumizi mazuri ya hela ya walipa kodi" hakuna ubishi watanzania wameiona kazi yake!
 
Back
Top Bottom