MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 707
Mfa maji heshi kutapatapa.
Namfananisha Kibonde na mfa maji. Kama wenzake, wana-CCM, wanatapatapa, kwani wanajua maji yamewafika pabaya... SHINGONI! Sasa wanazama, kwenye kina cha maji kirefu, walichojichimbia wao wenyewe.
CCM iliamua makusudi kufanya ufisadi, wakidhania kwamba wataweza kuizima DHAMIRA ya Watanzania walalahoi. Jambo zuri ni kwamba, ukila na kipofu ukamshika mkono, ATAKUBAMBA! Kipofu mlalahoi leo anaona, keshaujua ukweli, HUMWAMBII KITU!
CHADEMA ni sawa na DOZI KALI ya malaria sugu kwa CCM. Dawa ya ukombozi imepatikana, CCM sasa wanatetemeka kwa homa, kwani mgonjwa wa malaria utamjua tu kwa jinsi anavyotetema, akihangaika wakati dawa ikifanya kazi yake. Sasa siku ya KUPONA kwa mgonjwa huyu ni Oktoba 31, 2010, ambayo MALARIA SUGU itatibiwa na kuondolewa miongoni mwa Watanzania. WATAPONA!
Mdudu malaria ataondoka nyumbani kwa Watanzania. Malaria kweli HAIKUBALIKI! Watanzania wame-ZINDUKA, kwani MALARIA HAIKUBALIKI!
MALARIA = CCM!
Umeipata hiyo?
-> Mwana wa Haki
P.S. Hizi bado ni rasha rasha, kwani sasa bado ni ALFAJIRI. Hata mchana haujafika, CCM inalalama kwa homa kali. Itakapofika mchana na joto limepanda sijui watafanyaje? Tehe tehe tehe! Hahahaha! Kwi kwi kwi kwi! Kof kof! Jamani mbavu zanguuuuu! Khaa! Hahahaha! Kicheko miye! Waache wapoteze tu hayo mabilioni, watakuja kuyalipia NJE ya Ikulu, sijui watasema nini kwa waliowakopesha. HATUDANGANYI-KI!