Ndekirhepva JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 371 Reaction score 44 May 31, 2012 #1 wadau naombeni msaada, uelewa na uzoefu katika kazi, katika hizi accounting package mbili hapo kwenye Title, ni ipi iliyo more popular na inayotumika zaidi? yani ni ipi iliyo current??????
wadau naombeni msaada, uelewa na uzoefu katika kazi, katika hizi accounting package mbili hapo kwenye Title, ni ipi iliyo more popular na inayotumika zaidi? yani ni ipi iliyo current??????
The_Emperor JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 871 Reaction score 125 May 31, 2012 #2 Wamegoma kukusaidia?
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,370 Jun 1, 2012 #3 tally naisiki naitumia na wanaifundisha hapa tanzania hio nyingine ndo naisikia leo
Ndekirhepva JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 371 Reaction score 44 Jun 1, 2012 Thread starter #4 busy signal said: tally naisiki naitumia na wanaifundisha hapa tanzania hio nyingine ndo naisikia leo Click to expand... kuna kazi nimekuta kwenye lile tangazo la tume ya ajira ya juzi hapa last week ila sharti iwe unajua kutumia Epicor system, sasa hapa nikakwama wadau
busy signal said: tally naisiki naitumia na wanaifundisha hapa tanzania hio nyingine ndo naisikia leo Click to expand... kuna kazi nimekuta kwenye lile tangazo la tume ya ajira ya juzi hapa last week ila sharti iwe unajua kutumia Epicor system, sasa hapa nikakwama wadau
Ndekirhepva JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 371 Reaction score 44 Jun 1, 2012 Thread starter #5 The_Emperor said: Wamegoma kukusaidia? Click to expand... naona sijui nimeweka msamiati wa kigiriki???????
The_Emperor said: Wamegoma kukusaidia? Click to expand... naona sijui nimeweka msamiati wa kigiriki???????