EPICOR Vs TALLY

EPICOR Vs TALLY

Ndekirhepva

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2012
Posts
371
Reaction score
44
wadau naombeni msaada, uelewa na uzoefu katika kazi, katika hizi accounting package mbili hapo kwenye Title, ni ipi iliyo more popular na inayotumika zaidi?
yani ni ipi iliyo current??????
 
tally naisiki naitumia na wanaifundisha hapa tanzania hio nyingine ndo naisikia leo
 
tally naisiki naitumia na wanaifundisha hapa tanzania hio nyingine ndo naisikia leo

kuna kazi nimekuta kwenye lile tangazo la tume ya ajira ya juzi hapa last week ila sharti iwe unajua kutumia Epicor system, sasa hapa nikakwama wadau
 
Back
Top Bottom