King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Pia itakuwa ni gharama kubwa sana
Kwa private si mtoa mada amesema ipo mikocheni hospitali?? Mpunga wako tuu dada yangu.of course kwa private hospitals inawezekana. kwa govt labda karne ijayo
Epidural ni gharama kubwa sana?
Wapi huko ambako epidural ni gharama?
Maana sijawahi kusikia ni gharama sana...but then again circles zangu ni tofauti na za wengi humu....so maybe, just maybe.....
Nimeskia mikocheni hospital ni 5M. Hii hela kwa mtanzania wa chini kama mimi ni kubwa sana.
Hakuna sababu ya epidural analgesia kuwa sh. mil 5. Kuna uwezekano mkubwa kuwa hii taarifa sio sahihi. jaribu kutafuta taarifa sahihi.
Unajua sielewi kabisa kwa nini hiyo procedure iwe ghali hivyo, kama yanayosemwa ni kweli.
Manake huko kwingine hata wasio na private insurance hupewa hiyo option ya epidural.
Operation ni muhimu kuokoa maisha yako au mtoto. Ila epidural ni hitaji lisilo la msingi kwa mama wala mtoto
Unajua sielewi kabisa kwa nini hiyo procedure iwe ghali hivyo, kama yanayosemwa ni kweli.
Manake huko kwingine hata wasio na private insurance hupewa hiyo option ya epidural.
nadhani kwa sababu bongo haijazoeleka ndo maana inaonekana a big deal
Nimeskia mikocheni hospital ni 5M. Hii hela kwa mtanzania wa chini kama mimi ni kubwa sana.
Hahah utakuwa mchaga wewe tena Wa tarakeaUwiiiii hela yote hiyo si bora wanipe hiyo hela then nikomae na uchungu wangu
hii nilishawahi kuisikia zamani, kama miaka 6 imepita. Nikajiuliza maswali mengi sana kuhusu hicho kinachifanya mtu asisikie maumivu.
mwe nimebaki najishangalia, ila kwa africa nadhani hakuna bado wataalam, mmhhh wacha tukomae na uchungu mwe! miss u mah! Fixed Pointhii nilishawahi kuisikia zamani, kama miaka 6 imepita. Nikajiuliza maswali mengi sana kuhusu hicho kinachifanya mtu asisikie maumivu.
Wakati bado naendelea kushangaa nikaenda conference moja ambapo mama mmoja wa ki-dutch alikuwa anatusimulia jinsi alivyojifungua twins kwa maumivu makali sana. alimwomba sana daktari wake ampe hiyo epidural lakini alikataa kata kata kuwa hana imani na hiyo kitu. na akamwambia uchungu wa kuzaa huwa hauui, atapona tu watoto wakishatoka.
Miss you too dear.......mwe nimebaki najishangalia, ila kwa africa nadhani hakuna bado wataalam, mmhhh wacha tukomae na uchungu mwe! miss u mah! Fixed Point