Epidural Anesthesia: njia ya kisasa kujifungua bila maumivu

...........Mimi hii kitu nina uzoefu nayo, nilipofika labor tu niliambiwa nipewe epidural.
Niliwakatalia, nikasema mimi nataka kuzaa kwa uchungu, tena uzazi wangu wa kwanza
nataka nisikie uchungu. Sasa uchungu ulivyokuja, weweeeee!! Bahati Mbaya mtoto aligoma kutoka,
hivyo nikaa na uchungu for almost 10 hrs, ile uchungu unakuja, unatoka. Baadaye uchungu ulivyochanganya
na mtoto hatoki, weeeeeee!! Nilihitaji mwenyewe epidural!! Niliwaambia nichomeni tu epidural.

Baada ya kupewa epidural tu, sikusikia uchungu hata kidogo. na Tv nilitazama!! Chezea epidural!!

Hata hivyo mwanangu bado aligoma kutoka, after 18 hrs ya labor... nikaishia emergency C-section.
Nikija kuzaa tena, lazima nipewe epidural. Ya nini kupata uchungu mkali vile na wakati kuna option ya kutopata uchungu. Ukipata mtaalamu mzuri haina tatizo lolote.

polehh mwayaa, such a long labour
 
Ni nchi ganina gharama gani?
 
Kila kitu kina uzuri na ubaya wake. Nilibeba mimba kwa miezi tisa na wiki mbili na njia bado ilikua haifunguki. Tangu nikienda kwenye appointment na Gyn wangu alikua akiniuliza kuhusu hii kitu nikamwambia noo. Kwanza nilikua muoga then pia nlitaka inexperience uchungu cuz this was my first born.
Kutokana na mda kupita na kufanya kila kitu mpaka vyakula ili njia ifunguke lkn wapi. Wakaniambia itabidi wa C-sec nikagoma wakaniambia tutakupa dawa ya uchungu njia isipofunguka ni C-sec ila tukuchome Epidural utaumia nikasema noo
Weee nlikaa na uchungu masaa 6 nikawaita mwenyewe. Nikachomwa basi sikusikia chochote. Ila si kitu cha utani na si kila mtu eti doctor au nesi anakuchoma tu kuna mtu anakuja na unasainishwa kabisa ili likitokea la kutokea wawe na ushahidi kuwa bila kushurutishwa ulikubali. Na anavyokuchoma anakusihi usitingishike kwa jinsi yeyote.
Sasa hawa wa bongo watakua well trained na watakua makini, manake u may spend the rest of your life on a wheelchair
 
Du sasa mungu na ule msemo wake kuwa mwanamke atazaa kwa chungu itakuwaje?

Wapi huko ambako epidural ni gharama?

Maana sijawahi kusikia ni gharama sana...but then again circles zangu ni tofauti na za wengi humu....so maybe, just maybe.....[/QUOTE]
 
Kila kitu kina uzuri na ubaya wake. Nilibeba mimba kwa miezi tisa na wiki mbili na njia bado ilikua haifunguki. Tangu nikienda kwenye appointment na Gyn wangu alikua akiniuliza kuhusu hii kitu nikamwambia noo. Kwanza nilikua muoga then pia nlitaka inexperience uchungu cuz this was my first born.
Kutokana na mda kupita na kufanya kila kitu mpaka vyakula ili njia ifunguke lkn wapi. Wakaniambia itabidi wa C-sec nikagoma wakaniambia tutakupa dawa ya uchungu njia isipofunguka ni C-sec ila tukuchome Epidural utaumia nikasema noo
Weee nlikaa na uchungu masaa 6 nikawaita mwenyewe. Nikachomwa basi sikusikia chochote. Ila si kitu cha utani na si kila mtu eti doctor au nesi anakuchoma tu kuna mtu anakuja na unasainishwa kabisa ili likitokea la kutokea wawe na ushahidi kuwa bila kushurutishwa ulikubali. Na anavyokuchoma anakusihi usitingishike kwa jinsi yeyote.
Sasa hawa wa bongo watakua well trained na watakua makini, manake u may spend the rest of your life on a wheelchair

ulifanyiwa wapi??
maana ni nchi gani?
 
Mimi ni mtumishi hapo lakini nawashaurini dada zangu vumilieni tu uchungu msipende hivi vitu especially kwa nchi yetu moja ya side effect ya e.a ni kukata uchungu, wakati uchungu unakusaidia kufungua njia hivyo unaweza ukaishia vidonda vya c/s au upate masepsis masaa 6-18 hata kama ni prolonged labour si mengi.
 
Mi ni anaesthetist ni mtaalamu wa haya mambo sio gharama kama mtoa uzi alivoeleza hapo
 
...........Mimi hii kitu nina uzoefu nayo, nilipofika labor tu niliambiwa nipewe epidural.
Niliwakatalia, nikasema mimi nataka kuzaa kwa uchungu, tena uzazi wangu wa kwanza
nataka nisikie uchungu. Sasa uchungu ulivyokuja, weweeeee!! Bahati Mbaya mtoto aligoma kutoka,
hivyo nikaa na uchungu for almost 10 hrs, ile uchungu unakuja, unatoka. Baadaye uchungu ulivyochanganya
na mtoto hatoki, weeeeeee!! Nilihitaji mwenyewe epidural!! Niliwaambia nichomeni tu epidural.

Baada ya kupewa epidural tu, sikusikia uchungu hata kidogo. na Tv nilitazama!! Chezea epidural!!

Hata hivyo mwanangu bado aligoma kutoka, after 18 hrs ya labor... nikaishia emergency C-section.
Nikija kuzaa tena, lazima nipewe epidural. Ya nini kupata uchungu mkali vile na wakati kuna option ya kutopata uchungu. Ukipata mtaalamu mzuri haina tatizo lolote.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Vitabu vya dini vimeandika mwanamke atazaa kwa uchungu,so this is nature and we should enjoy the labor pains, ni maumivu ambayo unayasahau mara tu unaposikia mtoto analia na hata ukiniambia nikuhadithie uchungu unaumaje sijui pamoja na kwamba nina watoto 4 na wote nimezaa kawaida

Am proud of that kwa kweli na sitatamani hiyo njia ya kuzuia uchungu maana itanifanya nisione uspesho wowote wa kubeba mimba
 
Nasubir wangu anichane vizuri tu kama vitabu vya dini vilivyoandikwa
 
Back
Top Bottom