Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
EPIQ BONGO STAR SEARCH 2013 itaonyeshwa TBC1 na sio ITV tena kama tulivyozoea
huku Chief Judge Madam Ritha akisema sababu kubwa ya kufanya hivyo ni sababu za
kibiashara(sijui zipi hizo) na pia TBC1 inapatikana katika vingamuzi vingi kama Startimes
DSTV na ZUKU.
#umbea# isije kuwa ni kwa sababu Bw Machache yuko na Bi dada wa "Nalia kwa furaha" nae
akaamua kwenda na njia yake.
Kila la Kheri Chief Judge Madam Ritha......
NAWASILISHA.