Epiq Bongo Star Search (EBSS) sasa kuoneshwa na TBC1

Kama ilivyokuwa kwa ze comedy kutoka channel 5 kwenda tbc uhondo wote ukaisha kwani wali chini ya mwamvuli hawaiexpose tena serikali kama ilivyokua mwanzo...
 
TBC ni TV ya Magamba bana, akawaulize kaole na maigizo yao... Mpaka wakaamua kuacha kabisa kuuliza au Dude na bongo dar es salaam!!
 
tatizo siwaamini tbccm kabisa
maigizo ya kaole yalihamia kwao yakafa
komedi imehamia kwao ipo ICU
maisha plus holla
waliwanyanganya ITV kuonesha UEFA walipoanza wao kwishney
waliwanyanganya star tv kuonesha EPL, wakajaribu wao kwa sasa hamna kitu
bungeni kama kuna hoja kali wanakatakata matangazo
wakionesha mechi za stars tunafungwa,,,
so, BSS ndio kwishney hivyo
 
Imepoteza mvuto. Kuna mwaka nilienda pale coco kuimba duh!. Jamaa akaniuliza huna sauti nyingine nikamwambia sina. Akasema niimbe wimbo wa taifa, ile naanza tu akasema basi. Nikamuuliza utanijaji vipi hujaniskiliza? akasema hujui kuimba wewe tafuta fani nyingine hata kuchora. Nikaona wamenizingua mbele ya camera nikawasonya. J akasema ulikua umefanya vizuri, lakini kwa kuwa hujaonesha nidhamu hutufai. Nikawambia hamna mvuto. Na kweli kwenda tbc inaonesha wamechuja vibaya mno. Mia
 
TBC kwishney kabisa, walianzisha kipindi cha tamthiliya ya Dodoo na wakwe zake, sijui kiliishia wapi ghafla tu wakaacha kuonyesha.
 
Naona kuna sababu za kinyumba zaidi na sio kibiashara!! Anaiua BSS hivyo. haoni The comedy walivyopoteza baada ya kuhamia TBC1??
 
ndo basi tena mwaka huu sitaangalia maana huwa siangalii TBC kabisa.
 
Kweli umenikumbusha inawezekana sababu za kinyumba!!au kwakua mzee kahamia digital kuleeee!!!hihihi hihi
 
tatizo siwaamini tbccm kabisa
maigizo ya kaole yalihamia kwao yakafa
komedi imehamia kwao ipo ICU
maisha plus holla
waliwanyanganya ITV kuonesha UEFA walipoanza wao kwishney
waliwanyanganya star tv kuonesha EPL, wakajaribu wao kwa sasa hamna kitu
bungeni kama kuna hoja kali wanakatakata matangazo
wakionesha mechi za stars tunafungwa,,,
so, BSS ndio kwishney hivyo

umesema kweli kabisa. TBC yenyewe iko mahututi inaboa mno! ni TV ya wazeee na mambo yake loko! walipomfukuza Tido ndo waliharibu kabisa.
kwanza yeye ndo aliirekebisha na kuunda upya shirika hilo likawa la kisasa
 
Imepoteza mvuto. Kuna mwaka nilienda pale coco kuimba duh!. Jamaa akaniuliza huna sauti nyingine nikamwambia sina. Akasema niimbe wimbo wa taifa, ile naanza tu akasema basi. Nikamuuliza utanijaji vipi hujaniskiliza? akasema hujui kuimba wewe tafuta fani nyingine hata kuchora. Nikaona wamenizingua mbele ya camera nikawasonya. J akasema ulikua umefanya vizuri, lakini kwa kuwa hujaonesha nidhamu hutufai. Nikawambia hamna mvuto. Na kweli kwenda tbc inaonesha wamechuja vibaya mno. Mia

hahaaa mkuu MIA kumbe na wewe ni mtaalam wa haya makitu

kuhamia TBC ni sawa na kujichimbia kaburi ti ITV is Brand
 
Mi ningekomaa na fani ningetisha. Au unataka nikuimbie usikie?. mi sina channel ya tbc. Siwapendi kuanzia watanfazaji hadi vipindi vyao. Mia

Nilishaacha kuangalia vipindi vyao siku nyingi sana......;sa sijui hili wazo

la kuhamishia TBC1 Madam amelitoa wapi

itabidi nije mtaani kwenu uniimbie
 
:yield:itatoa star wa katitu mwaka huu...washiriki watakuwa makamo ya kina ngurumo na bi cheka...teheh...Huyo star akiimba wimbo kuisifia ccm na lowasa anapewa kitita chake cha 50..kam unabisha subiri uone
 
Back
Top Bottom