cesallinho
Member
- Jul 11, 2013
- 94
- 41
Kama ilivyokuwa kwa ze comedy kutoka channel 5 kwenda tbc uhondo wote ukaisha kwani wali chini ya mwamvuli hawaiexpose tena serikali kama ilivyokua mwanzo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani we acha tu, watakapofululiza mwezi mzima kwa vipindi maalum ndio madamu na wadhamini wake watakapotokwa machozi.
Imepoteza mvuto. Kuna mwaka nilienda pale coco kuimba duh!. Jamaa akaniuliza huna sauti nyingine nikamwambia sina. Akasema niimbe wimbo wa taifa, ile naanza tu akasema basi. Nikamuuliza utanijaji vipi hujaniskiliza? akasema hujui kuimba wewe tafuta fani nyingine hata kuchora. Nikaona wamenizingua mbele ya camera nikawasonya. J akasema ulikua umefanya vizuri, lakini kwa kuwa hujaonesha nidhamu hutufai. Nikawambia hamna mvuto. Na kweli kwenda tbc inaonesha wamechuja vibaya mno. Mia
ndo basi tena mwaka huu sitaangalia maana huwa siangalii TBC kabisa.
tatizo siwaamini tbccm kabisa
maigizo ya kaole yalihamia kwao yakafa
komedi imehamia kwao ipo ICU
maisha plus holla
waliwanyanganya ITV kuonesha UEFA walipoanza wao kwishney
waliwanyanganya star tv kuonesha EPL, wakajaribu wao kwa sasa hamna kitu
bungeni kama kuna hoja kali wanakatakata matangazo
wakionesha mechi za stars tunafungwa,,,
so, BSS ndio kwishney hivyo
Imepoteza mvuto. Kuna mwaka nilienda pale coco kuimba duh!. Jamaa akaniuliza huna sauti nyingine nikamwambia sina. Akasema niimbe wimbo wa taifa, ile naanza tu akasema basi. Nikamuuliza utanijaji vipi hujaniskiliza? akasema hujui kuimba wewe tafuta fani nyingine hata kuchora. Nikaona wamenizingua mbele ya camera nikawasonya. J akasema ulikua umefanya vizuri, lakini kwa kuwa hujaonesha nidhamu hutufai. Nikawambia hamna mvuto. Na kweli kwenda tbc inaonesha wamechuja vibaya mno. Mia
hahaaa mkuu MIA kumbe na wewe ni mtaalam wa haya makitu
kuhamia TBC ni sawa na kujichimbia kaburi ti ITV is Brand
Mi ningekomaa na fani ningetisha. Au unataka nikuimbie usikie?. mi sina channel ya tbc. Siwapendi kuanzia watanfazaji hadi vipindi vyao. Mia
Mi ningekomaa na fani ningetisha. Au unataka nikuimbie usikie?. mi sina channel ya tbc. Siwapendi kuanzia watanfazaji hadi vipindi vyao. Mia