Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Na huyu madam rita na mwanaye Evelyn wananyanyasa sana wafanyakazi wa benchmark......wamedhulumu sana mishahara ya wafanyakazi wa benchmark kwa muda mrefu. Ndio maana mikosi inamuandama kila kukicha.
hii kitu hii -john wolker ft ras lion
mmh hawa TBC utaratibu wao wa vipindi ni shaghala baghala 2. mara hotuba ya KATIBU wa chama, mara uzinduzi wa barabara. tutaahirishiwa kipindi hadi tukome. ye angebaki 2 huko huko kwani vipi bana! penzi kiti cha basi ukishuka mwenzio anakaa.

Wanaanza lini rasmi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Na huyu madam rita na mwanaye Evelyn wananyanyasa sana wafanyakazi wa benchmark......wamedhulumu sana mishahara ya wafanyakazi wa benchmark kwa muda mrefu. Ndio maana mikosi inamuandama kila kukicha.
mmh hawa TBC utaratibu wao wa vipindi ni shaghala baghala 2. mara hotuba ya KATIBU wa chama, mara uzinduzi wa barabara. tutaahirishiwa kipindi hadi tukome. ye angebaki 2 huko huko kwani vipi bana! penzi kiti cha basi ukishuka mwenzio anakaa.
Ha ha haaaa mkuu... Hii kitu hii kitu hiiii!
Nadhani angejaribu kumuuliza Masoud Kipanya na show yake ya MAISHA PLUS inavyovurugwa na hawa TBC. BSS ndo inakufa taratibu.