Epiq Bongo Star Search - LIVE

Epiq Bongo Star Search - LIVE

Nshoma na Layla Rashidi wangepaswa mmoja wao awe kama Madame B ila wote vimbaumbau, hovyoo.
 
Last edited by a moderator:
Nshoma na Leila Rashid wamemaliza Walioingia
hivi sasa ni
Salma na Linex
 
Salma na Linex wamemaliza Walioingia
hivi sasa ni
Wababa na Mwasiti
 
Wababa meza imempa promo lakini yuko mbali sana kwa mujibu wa graf ninayoangalia hapa ya jamaa yangu wa PUSHMAIL.
 
Wamecop na kupest utumbo mtupu, wanaboa sana me nishajilalia kitambo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mi sielewi hiyo band ndo inawaharakishia midundo ama nn?

well done Walter n Ditto
 
Salma na Linex wamemaliza Walioingia
hivi sasa ni
Wababa na Mwasiti

Tunashukur mkuu kwa kutuletea taarifa, naona povu linakutoka unalipwa nini?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
My favourates ni dadas wa family moja hasa nshoma nadhani sijakosea yule ambaye dadake alishinda few years ago.
 
Vituko kwenu msio hapa ukumbini, kuna mbaba kafumania hapa out ila naona ni mkulu sirikalini ila kaamua kuyamaliza kwa kuacha gari lake na kuondoka na gari la mkewe pamoja na mkewe. utu uzima kweli ni medication.
 
Back
Top Bottom