Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

cape town

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
40
Reaction score
42
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.

Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.

Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.

Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.
 
Duh, kweli hii noma, hawa Vijana kama kweli wanahusika, inatakiwa wapigwe ban la kufa mtu na pia kutaifishwa mali zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…