EPL 2019-2020; Chelsea itafungwa na timu zote za big 4

soka safi vijana wanacheza... Pedro anacheza kama kinda wa miaka 20,, Kante pale kati hana mfano
Timu ipo vizuri baada ya mechi kadhaa itatulia vema,tangu mechi ya United,Chelsea hawakuwa na bahati hata jana Liverpool wameshinda lakini Chelsea walicheza vizuri zaidi,Liverpool kama wana fatique kiasi
 
Reactions: usy
Nitakua nina'upadate matokeo ya Chelsea msimu huu mzima mpaka mjue litimu libovu sana tena sana.

NB:
Mimi ni MAN U DAMU, GGMU
 
Nitakua nina'upadate matokeo ya Chelsea msimu huu mzima mpaka mjue litimu libovu sana tena sana.

NB:
Mimi ni MAN U DAMU, GGMU
usisahau na leo Ku update matokeo ya manjesta
 
Sawa...ila kumbuka uzi huu ni kwaajili ya update za mechi za Chelsea TU
 
UPDATE no3.

EPL - 22 Sep '19

Chelsea 1-2 Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…