usy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 209
- 164
soka safi vijana wanacheza... Pedro anacheza kama kinda wa miaka 20,, Kante pale kati hana mfanoWengi hatujui mpira kwahiyo mihemko ndiyo inayotuongoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soka safi vijana wanacheza... Pedro anacheza kama kinda wa miaka 20,, Kante pale kati hana mfanoWengi hatujui mpira kwahiyo mihemko ndiyo inayotuongoza
Timu ipo vizuri baada ya mechi kadhaa itatulia vema,tangu mechi ya United,Chelsea hawakuwa na bahati hata jana Liverpool wameshinda lakini Chelsea walicheza vizuri zaidi,Liverpool kama wana fatique kiasisoka safi vijana wanacheza... Pedro anacheza kama kinda wa miaka 20,, Kante pale kati hana mfano
usisahau na leo Ku update matokeo ya manjestaNitakua nina'upadate matokeo ya Chelsea msimu huu mzima mpaka mjue litimu libovu sana tena sana.
NB:
Mimi ni MAN U DAMU, GGMU
UPDATE no3.Duru la raundi ya kwanza ya EPL imeitimishwa leo baada ya kuona games kadhaa zikipigwa katika madimba kadhaa ya kabumbu uko England.
Kwa upande mmoja naona Chelsea ikikubali kichapo cha goli 4 bila majibu kwa timu ya Man U, nadiriki kusema...kwa aina ile ya mfumo na wachezaji naona kabisa Chelsea ikipoteza points kadhaa mbele ya timu kubwa kama Man City, Liverpool, Spurs na Arsenal.
Frank Lampard ndio kocha wa mapema sana kufukuzwa kazi maana mweye timu hana kabisa uvumilivu wa aina hii ya matokeo.
Ni swala la muda tu.
UPDATE no1.
Super Cup Final - Liverpool Vs Chelsea
Full time 1-1, Extra time 2-2.
Penalty Shoot-out 5-4
Liverpool ndio bingwa wa Super Cup 2019-2020.
UPDATE no2.
EPL - Chelsea Vs Leicester City
Full time 1-1
Melvine!
SawaSawa...ila kumbuka uzi huu ni kwaajili ya update za mechi za Chelsea TU
Ahsante kwa muongozoNitakua nina'upadate matokeo ya Chelsea msimu huu mzima mpaka mjue litimu libovu sana tena sana.
NB:
Mimi ni MAN U DAMU, GGMU