coyyote
Member
- Aug 12, 2018
- 53
- 88
Wadau, nawaza kwa sauti, kwa mfano ligi ya Uingereza ikaisha na top 6 zikawa kwenye nafasi walizonazo kama zilivyo sasa, yaani Liverpool, Manchester City, Chelsea na spurs zikapita kwenda champions league (top 4 teams) alafu Arsenal wakachukua Europa (bingwa hupata automatic qualification kwenda UCL mwakani hata kama hakumaliza top 4 kwenye ligi) na ikatokea maajabu Manchester United nae kabeba champions league mwisho wa msimu (bingwa hupata automatic qualification UCL hata kama hakumaliza top 4 kwenye ligi)
Je league ya Uingereza itawakilishwa na team 6 UEFA Champions league Mwakani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je league ya Uingereza itawakilishwa na team 6 UEFA Champions league Mwakani?
Sent using Jamii Forums mobile app