EPL champions league qualification 2020 scenarios

coyyote

Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
53
Reaction score
88
Wadau, nawaza kwa sauti, kwa mfano ligi ya Uingereza ikaisha na top 6 zikawa kwenye nafasi walizonazo kama zilivyo sasa, yaani Liverpool, Manchester City, Chelsea na spurs zikapita kwenda champions league (top 4 teams) alafu Arsenal wakachukua Europa (bingwa hupata automatic qualification kwenda UCL mwakani hata kama hakumaliza top 4 kwenye ligi) na ikatokea maajabu Manchester United nae kabeba champions league mwisho wa msimu (bingwa hupata automatic qualification UCL hata kama hakumaliza top 4 kwenye ligi)

Je league ya Uingereza itawakilishwa na team 6 UEFA Champions league Mwakani?
20190412_101930.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, nawaza kwa sauti, kwa mfano ligi ya Uingereza ikaisha na top 6 zikawa kwenye nafasi walizonazo kama zilivyo sasa, yaani Liverpool, Manchester City, Chelsea na spurs zikapita kwenda champions league (top 4 teams) alafu Arsenal wakachukua Europa (bingwa hupata automatic qualification kwenda UCL mwakani hata kama hakumaliza top 4 kwenye ligi) na ikatokea maajabu Manchester United nae kabeba champions league mwisho wa msimu (bingwa hupata automatic qualification UCL hata kama hakumaliza top 4 kwenye ligi)

Je league ya Uingereza itawakilishwa na team 6 UEFA Champions league Mwakani? View attachment 1069329

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni nadharia Man Utd hawezi chukua UEFA na hata Arsenal hawezi chukua Europa full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona badala ya watu kujadili nini kitatokea katika uwakilishi wa vilabu vya Uingereza kwenye UCL endapo nadharia tajwa hapo juu zitatokea, watu wanajadili mada nyingine ambayo ni ''Je, Man Utd atachukua UEFA mwaka huu ? na Je, Arsenal atakua bingwa wa Uropa ?''

Mimi Kama msoma comments natamka wazi kwamba wachangiaji hao ni DHAIFU.
 
Sisi kama bunge la JF na mimi kama Spika....tumeamua kutokushirikiana na wewe katika thread na comments zako kwa kutuita DHAIFU
 
Back
Top Bottom