Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
- Thread starter
- #21
Chako ni kigumu zaidi bossUna kichwa kigumu mkuu, dongo limeelekezwa kwa wananchi hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chako ni kigumu zaidi bossUna kichwa kigumu mkuu, dongo limeelekezwa kwa wananchi hilo
Matatizo ya akili yanakunyemeleaSijawahi kusikia Real madrid anajiita historic champions wa uefa
Wala man utd anajiita historic champion WA Epl Acheni uswahili
Arsenal ni FA cup winner period
[emoji23]bora useme wewe mkuuMatatizo ya akili yanakunyemelea
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hapo Liverpool hana kazi kubwa ya kufanya, tuhesabu ni "Yeye"
Hapana ile medali wenzake walimchukulia.Abomayangi amekosa medali, ingekuwa bongo tungeona kejeli zote za dunia.
Ila kwa soka lililopigwa, mbona kama bingwa mtetezi wa EPL alikuwa kama andadogi? Ndio kusema washika manati wa Londoni gari limewaka au Jogoo kapulizwa mkiani?
Kuhusu gari mkuu, naona ndio limewaka.. Tena limewakia kilimani.Abomayangi amekosa medali, ingekuwa bongo tungeona kejeli zote za dunia.
Ila kwa soka lililopigwa, mbona kama bingwa mtetezi wa EPL alikuwa kama andadogi? Ndio kusema washika manati wa Londoni gari limewaka au Jogoo kapulizwa mkiani?
Live ila sasa hawa pumzi zinakata mapemaaa, unaweza kujikuta mnamdhamini mmasai hapa, na kwa jinsi timu nyingi zilikuwa dhoofu lihali, nilitegemea hawa washika bunduki watawale soka la UK kwa angalau miaka 5 mfululizo tangu Fergie aachie ngazi, ajabu wakaja akina Leceister, Spurs, City, Chelsea na matokeo yake wakarejesha heshima ya Liver iliyopotea siku nyingi.Kuhusu gari mkuu, naona ndio limewaka.. Tena limewakia kilimani.
Akiweza kushinda game ngumu za Liva na Man City tunaweza kuongea mengine msimu huu.
Umeteremka vyema mkuuLive ila sasa hawa pumzi zinakata mapemaaa, unaweza kujikuta mnamdhamini mmasai hapa, na kwa jinsi timu nyingi zilikuwa dhoofu lihali, nilitegemea hawa washika bunduki watawale soka la UK kwa angalau miaka 5 mfululizo tangu Fergie aachie ngazi, ajabu wakaja akina Leceister, Spurs, City, Chelsea na matokeo yake wakarejesha heshima ya Liver iliyopotea siku nyingi.
Sasa kwa mwendo huu, naona kabisa Liver anavyoenda kupwaya kwenye utetezi na ni nafasi ya washika manati wa London kama watakaza.
Nilipoangalia ile fainali ya Bayern na PSG, nilisikitika sana, mimi niliyezoea zile fainali za Liver na AC Milani, Chelsea na Man Utd, n.k, nikaona kabisa EPL ina nafasi ya kutawala soka la Ulaya kwa muda mrefu kama baadhi ya timu zitaamua kurudia mifumo yao ya zamani.
Ile Arsenal ya Viera, Maya, Campbell, Pires, Reyes, Gilberto, TH14, Bergkamp, Ljumberg,n.k Hakuna mtoto hapo, wote walizoeana kwa muda mrefu....Barcelona anakufa hapa siku zile,kadi nyekundu inawaokoa kwenye ile fainali.
Sio shabiki wa Arsenal.